Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Huko kote nimevuruga!!!

Nenda Mpanda Zedigital na viwanja vingine Mtaa wa Simba na Fisi

Pisi ya 5000 kwa Dar value yake ni 600000Tsh...bia za Namibia bei ya Nyanya

Hakuna wizi wala ujanja ujanja...Misosi yotee mpaka pilau la UYOGA....vitu vya Dubai wewe tu na chawa wqke...

Huto jutia ...yani kama upo Wind nini kule NAMIBIA

Local but high Quality!!!
Unaongelea wapi sasa na wewe unabubujika maneno hutaji hata location zako ni za mkoa gani huo? [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Ntaenda nairobi 😅😅😅
Nairobi kuna starehe sana na customer care iko vizuri sana. Kuna club 24 hrs zipo wazi ukiingia unapoteza "track of time". Club kama "Sixtyfour" unaweza ukaingia jioni ukatoka keshokutwa mchana acha aisee. Huo mji ni rahisi kuingiza hela na ni rahisi kupoteza hela. Ukiangalia shilingi ya kenya ipo juu kuliko ya Tanzania. Usijaribu kutumia mihadarati piga bia tu maana kuna mademu wanaweza kukuwekea madawa. Ni vizuri kwenda na mgeni na ukitaka u-enjoy usinywe mpaka ulewe chakari. Kunwya ki aste aste ukisikia vimepanda agiza choma 😂 😂 😂 .Nairobi its the only city where your money gives you a superb experience. Good luck with your endevour .
 
Ka
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam

Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni wengi lakini bado vitu ni bei za kawaida kabisa.
SIFA KUU NILIZOPENDA ZAIDI
1. Paking kubwa lakini zinajaa
2. Sehemu kali lakini bei elekezi
3. Mademu wakali na wazuri lakini sio ombaomba kama Dar hata kama ni kampani demu sio mzigo au malaya.
4. Kubwa zaidi Hakuna sehemu isiyokuwa na Lipa kwa simu, hata kama ni muuza pepcon ana lipa kwa simu jambo ambalo kwa Dar ni maeneo machache sana wanayo. Yan kiusalama zaidi si lazima uwe na cash ili upate huduma.

Ukienda Moshi hakikisha hutakosa viwanja hivi
1. DID night Pub hii hakuna mtu alienda na msiba asipajue
2. Vegas na moto sana
3. AmuzZ hii sitoisahau kamwe mwaka mpya magari yalikuwa mengi sana mpaka barabarani ikafungwa.
4. Redstone Club hii ni club kubwa Afrika Mashariki, watu wanatoka mbali wanakuja kuinjoy hapa.

Nikisema nitaje zote huu uzi hautoshi. Najua wapo wadau watakuja shuhuda zaidi. Karibuni sana Moshi ila kama unajua chimbo lako kali litupie hapa siku tukija mji husika tufikie hapo.
Nimeamini Ile habari kwamba Watanzania wengi Wana shida za afya ya akili
 
Back
Top Bottom