Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbususu inachakatwa ... Hahaha.Kuna maneno jf huja na kupotea!
Mfano ilikua inaitwa kula uroda,ikaja Kipochi manyoa/manyoya,sasa hivi naona imepewa jina la Mbususu.
kwa msiojua hii ni ID nyingine ya GentaMshana Jr (Trade Mark), Akili kubwa Gentamacin na Kwa mutuz
Imekuwaje genta wamemu evict kwenye big brother house?kwa msiojua hii ni ID nyingine ya Genta
1.MBUSUSU.Habari wakuu
Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi .
Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!!
Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza mengi mnooo. Hongera kwa members woote.
Leo napenda niliweke pembeni jina la Mungu nimeliona mara nyingi, je ni jina lipi limetajwa sana JF tangu 2006 ilipoanza?
Hili neno “mkuu” nafurahi linatumika JF tu. Hata ikitokea mtu nje ya JF akaniita mkuu au akani-sms na neno mkuu. Moja kwa moja najua tu ni uzao wa nyoka Jf. Mkuu ni utambulisho tosha hapa Jf"Mkuu" ndio kiboko ya yote