Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

Habari wakuu

Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi .

Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!!

Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza mengi mnooo. Hongera kwa members woote.

Leo napenda niliweke pembeni jina la Mungu nimeliona mara nyingi, je ni jina lipi limetajwa sana JF tangu 2006 ilipoanza?
1.MBUSUSU.
 
Back
Top Bottom