Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Ivi dada zetu wanafaham Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ???
Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
 
Wanaelewa sasa hawa watoto wa 2000?
 
Back
Top Bottom