Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Kwa wanawake wa sasa Modern woman wengi wao hawana cha kuoffer, sababu
1.Wana tamaa na fedha iliyo pitiliza mpaka wamepoteza utu ndio maana wepesi kuliwa na ukipitia changamoto za kiuchumi wanakimbia.Kwa siku hizi ngono imekuwa rahisi kupatika sana sababu ya fedha na kitu chochote ukiingiza fedha unaintroduce grade na ukiintroduce grade maana yake hata kile kilichokuwa kinauzwa laki juzi leo kitapatika kwa elfu kumi kesho elfu tano,kesho kutwa buku tatu mara hee unaweza pata hata kwa mafungu ( ndio maana siku hizi kuna mitindo mingi ya ngono mara thresome, mtungo sijui house party).

2. Wengine hawajui zile kazi za nyumbani tofauti na wazee wa wazamani (kupika,kufua,kufagia hawajui na wengine utakuta wanajua ila wavivu na hawataki kufanya).

3.50/50 na usawa kijinsia umewafanya wawe viburi, jeuri na kuleta mashindano majumbani.

4.Hii inatokana na sababu ya kwanza,sababu ya kupenda fedha inawakuta wanadate na wanaume tofauti tofauti wenye uwezo na experience tofauti, kupelekea kuwa lundo la Maex na ndio maana ndoa ikipitia changamoto yoyote baada ya kuisolve na wenzake, atatafuta msaada nje na hapo ndipo mara nyingi Maex wanapo chukua point tatu.Yaani siku hizi viporo vinapashwa sana.

5.Wengi wao maswala ya kiimani na zile mila zetu nzuri za kiafrika wanaziona zakipuuzi huku waking'ng'ania uzungu. Ndio maana huwaga na washangaa mabinti wa siku,wakihangaika kutafuta traditional man wakati wao ni Modern Woman kwani hawa watu wawili hawezi kukaa nyumba moja na Modern Man wanawaogopa/hawawataki sababu wana lack Masculinity.

Kwa siku hizi moja ya kitendo cha kishujaa ni kuoa,japo wapo wachache ila unawatafuta kwa tochi.
 
MTU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE ANAULIZA UMUHIMU WA MWANAMKE.KUNA WATU ******* NA WASIOJIELEWA.KESHO UTAMKUTA ANASEMA NANI KAMA MAMA KANA KWAMBA MAMA YAKE NI MASHINE YA KUSAGA NA SIO MWANAMKE.
 
Hii ni product ya malezi ya single father ...pole

Uhalisia wanaume wanahitaji wanawake zaidi ya wanawake wanavyohitaji wanaume

Lakini ikitumika busara,sisi wote tunahitajiana
Nah! Vice versa is true
History, science and our current reality ni ushahidi tosha kwamba mwanamke sio kitu bila Mwanaume!

Mwanamke ni kama dhahabu ama almasi kwenye udongo hua haina thaman mpaka ichimbwe isafishwe then ipangiwe matumizi bila mwanaume kuwepo kuipa thamani either ya kuwa Mama, Mke ama Mwenza anakua si chochote… just an ordinary everyday normal motherfunker!!

But a Man, Man is a true reflection of GOD, he is ambitious, creative and complete!!
The balls that we have give us a nerve to say that “this is the Man’s world”

Men takes pride in working, feels good when he is building something tangible, thats why when we finish during sex we feel worse cuz that act do not glorify us, its a woman Glory!! Na matokeo yake hua ni lifetime slavery ya kulea Mama na mtoto.. !!
 
Watoto
Kukutunza
Kukutajirisha
Kukupa utulivu wa nafsi
Mmmmmh weeeeeh huo ni ULONGO bwanaaa we unamtunzaje mwanaume, na eti utulivu wa nafsi 🫵🫵🫵🫵 nyie wanawake ni watu wanopenda makelele sanaaaaa mnaropokaga vitu hata bila kufikiriaa ndio maana wanaume wengi wakirudi home kabla hawajaingia ndani hukaa nje kwanza kama dakika kadhaaaa

Huo utulivu wa nafsi ✖️
Kutajirisha✖️
Kutunza,✖️

Hapo kwenye watoto mnabambikiza kwa mwanaume watoto wasio Wake 🥱🥱🥱🥱
 
Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Eti bhana, mwambie huyo hajui asemalo, msamehe bure tuu.
 
1. Anakushauri na kukutia moyo
2. Kuwa wawili kunaongeza baraka ndani ya nyumba
3. Unapokuwa na mwanamke unaongeza spirit ya kupambana zaidi katika mapambano yako kuliko kujibweteka.
4. Anakulelea watoto wako na kuwapa maadili bora
 
Unaongelea ukiwa Karne gani au mwanamke wa wapi ?;

Hakuna mtu wa kukupangia maisha katika familia yako ni wewe na partner wako, na kwa uhalisia dunia ya sasa kuna wanawake kwenye mahusiano ambao ndio wanatunza familia (and why not kama kipato kwa sasa hakina limit / jinsia na sio ajabu mke wako akawa na kipato kuliko wewe); Hivyo inategemea kama fikra zako zipo karne ya 12 wakati unaishi karne ya 21 mambo yanaweza kuonekana magumu sana... au ukajikuta unapigana vita visivyo lazima
 
1. Anakushauri na kukutia moyo
2. Kuwa wawili kunaongeza baraka ndani ya nyumba
3. Unapokuwa na mwanamke unaongeza spirit ya kupambana zaidi katika mapambano yako kuliko kujibweteka.
4. Anakulelea watoto wako na kuwapa maadili bora
Vtu vya kufikilika et kukutia moyo 😂😂😂😂😂
 
Mmmmmh weeeeeh huo ni ULONGO bwanaaa we unamtunzaje mwanaume, na eti utulivu wa nafsi 🫵🫵🫵🫵 nyie wanawake ni watu wanopenda makelele sanaaaaa mnaropokaga vitu hata bila kufikiriaa ndio maana wanaume wengi wakirudi home kabla hawajaingia ndani hukaa nje kwanza kama dakika kadhaaaa

Huo utulivu wa nafsi ✖️
Kutajirisha✖️
Kutunza,✖️

Hapo kwenye watoto mnabambikiza kwa mwanaume watoto wasio Wake 🥱🥱🥱🥱
Sawa
 
Back
Top Bottom