Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Support ✅
Muongozo ✅
Ushauri Bora wa maisha✅

Over 🥱
Wewe katika wanawake zako wote Hakuna aliekusupport
Hakuna aliekupa ushaurii ukajikuta umetoboa

Hakuna mwanamke alikupa muongozo wa maisha ukakiri bila uwepo wake ungeshindwa

Kama Hakuna basi wewe ni mwanaume usie na bahati ya kupata wanawake wa maana unakutana na slay queen anaekumalizia hela zako kwa photoshop
 
Ukipata mwanamke anayejitambua na anayejua majukumu yake; na akasimama katika zamu yake kama mke, msaidizi wako, mpenzi, mwenza, mwandani, MSHIKAJI, mama watoto na RAFIKI yako wa kweli aisee mbona mbingu utaionja ukiwa hapa hapa duniani?

Hii pia inakutaka hata wewe uwe mwanaume bora na anayeweza kusimama katika zamu yake kama mume, mlinzi, baba, provider na kuhani wa familia.

Kama unahisi kwamba faida ya mwanamke uliyenaye katika maisha yako ni hilo shimo nyevu lisilo na mwisho katikati ya miguu yake basi huna hata haja ya kuoa wala kuwa na mahusiano ya kudumu maana hilo shimo unaweza kulipata po pote, ko kote na wakati wo wote utakaotaka.

Sex is soooooooo overrated!

20250418_123255.png
 
Kwa mwanamke sex sio starehe tu, ni bargain power, nyenzo ya udhibiti na ya kutoa adhabu katika muingiliano wake na mwanaume. Kimsingi ukiondoa sex(ambayo ni starehe ya wote) wakina dada wengi wa kisasa hawana kingine wanachotoa kwenye mahusiano. Mwanaume dhibiti nyege zako utagundua wanawake ni liability tu kwenye maisha yako

Hatari Sana.
Nimeokota kitu.
 
Back
Top Bottom