Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Wapumzisheni jamani.....
Mtawapasua vichwa dada zetu
 
Attachments

  • IMG_20250324_184005.jpg
    IMG_20250324_184005.jpg
    65.9 KB · Views: 29
Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Naimani wewe ni Me, tunaomba useme sanamu lako tulijengee wapi?
Umeonyesha ni jinsi gani, umelelewa kwenye maadili ya kuheshimu kila mtu. Hongera kwa wazazi wako nawewe mwenyewe kupokea malezi bora. 👏👏👏👏👏 dudus

Nakuja kwa nyie vinyamkera wengine, mnaosema wanawake hawana lolote zaidi ya sex. Mnadate na watu mnaofanana nao, hayo makelele huwezi sikia kwa watu waliokwisha jipata.

Kelele ni kwa apeche alolo, akiombwa 1m anakuja kutukana wanawake wote humu, akiwemo mama yake. Mijitu ya aina hii ingeminywa tu wakati wa kuzaliwa.
 
Wakina nani? Tuongee reality tu wanawake mchango ni kichele sana… Ombeni sana Mungu siku mwanaume akiacha kuhisi genye za hovyohovyo mtanyooka
😳Tutanyooka na nini we nguchiro?
Nimeshtuka ujue
 
Naimani wewe ni Me, tunaomba useme sanamu lako tulijengee wapi?
Umeonyesha ni jinsi gani, umelelewa kwenye maadili ya kuheshimu kila mtu. Hongera kwa wazazi wako nawewe mwenyewe kupokea malezi bora. 👏👏👏👏👏 dudus

Nakuja kwa nyie vinyamkera wengine, mnaosema wanawake hawana lolote zaidi ya sex. Mnadate na watu mnaofanana nao, hayo makelele huwezi sikia kwa watu waliokwisha jipata.

Kelele ni kwa apeche alolo, akiombwa 1m anakuja kutukana wanawake wote humu, akiwemo mama yake. Mijitu ya aina hii ingeminywa tu wakati wa kuzaliwa.
Huyo aliyejipata si baada ya kuwa na hela ndio akatafuta mwanamke wa kum-offer sex ili atoe hizo mil 1 au??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Naimani wewe ni Me, tunaomba useme sanamu lako tulijengee wapi?
Umeonyesha ni jinsi gani, umelelewa kwenye maadili ya kuheshimu kila mtu. Hongera kwa wazazi wako nawewe mwenyewe kupokea malezi bora. 👏👏👏👏👏 dudus

Nakuja kwa nyie vinyamkera wengine, mnaosema wanawake hawana lolote zaidi ya sex. Mnadate na watu mnaofanana nao, hayo makelele huwezi sikia kwa watu waliokwisha jipata.

Kelele ni kwa apeche alolo, akiombwa 1m anakuja kutukana wanawake wote humu, akiwemo mama yake. Mijitu ya aina hii ingeminywa tu wakati wa kuzaliwa.
Ni jana tu nilikua najisomea historia ya Marie Curie; mmama nguli aliyechangia pakubwa kwenye physics na chemistry na alitunukiwa Nobel Prizes mbili kwenye hizo fields na akawa binadamu (sio mwanamke) wa kwanza kutunukiwa Nobel Prizes mbili.

Miongoni mwa contributions zake duniani ndiye mwanzilishi wa neno radioactivity and it's variants (radio active, radiation, etc.) na ikawa ni field kamili of study inayojitegemea duniani forever.

Wasilisho la tasnifu (thesis) yake ya uzamivu (PhD) ilikuwa thesis bora zaidi kuwahi kutokea duniani na lile jopo la maprofesa nguli kutoka pande zote za dunia waliokuwa wana-evaluate walikubaliana kwa kauli moja atunukiwe "the highest distinction PhD possible". That was on 25th June, 1903 at the University of Paris.

Wanapoibuka kima kama hawa wasiojua hata kuandika vizuri kutukana gender nzima inaudhi sana.
 
Wewe katika wanawake zako wote Hakuna aliekusupport
Hakuna aliekupa ushaurii ukajikuta umetoboa

Hakuna mwanamke alikupa muongozo wa maisha ukakiri bila uwepo wake ungeshindwa

Kama Hakuna basi wewe ni mwanaume usie na bahati ya kupata wanawake wa maana unakutana na slay queen anaekumalizia hela zako kwa photoshop
uhalisia upo pale pale SAWA wewe nyabumbu feminist
 
Ni jana tu nilikua najisomea historia ya Marie Curie; mmama nguli aliyechangia pakubwa kwenye physics na chemistry na alitunukiwa Nobel Prizes mbili kwenye hizo fields na akawa binadamu (sio mwanamke) wa kwanza kutunukiwa Nobel Prizes mbili.

Miongoni mwa contributions zake duniani ndiye mwanzilishi wa neno radioactivity and it's variants (radio active, radiation, etc.) na ikawa ni field kamili of study inayojitegemea duniani forever.

Wasilisho la tasnifu (thesis) yake ya uzamivu (PhD) ilikuwa thesis bora zaidi kuwahi kutokea duniani na lile jopo la maprofesa nguli kutoka pande zote za dunia waliokuwa wana-evaluate walikubaliana kwa kauli moja atunukiwe "the highest distinction PhD possible". That was on 25th June, 1903 at the University of Paris.

Wanapoibuka kima kama hawa wasiojua hata kuandika vizuri kutukana gender nzima inaudhi sana.
Huyo mwanamke ni mmoja TU kati ya Wanawake 10000
 
Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Je bila mwanume mwamke aweza kuzaa? Je bila mwanaume wewe ungekuwepo?
 
Hata ukiniita king’ang’a pro ukweli ndio huo niliokupa

Pumbafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema feminist

Na nyie malinist 😎

Ene wei ... Makasiriko ni mengi Sana.
 
Back
Top Bottom