Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Take it easy, acha ku-panic.
 
Kwa mwanamke sex sio starehe tu, ni bargain power, nyenzo ya udhibiti na ya kutoa adhabu katika muingiliano wake na mwanaume. Kimsingi ukiondoa sex(ambayo ni starehe ya wote) wakina dada wengi wa kisasa hawana kingine wanachotoa kwenye mahusiano. Mwanaume dhibiti nyege zako utagundua wanawake ni liability tu kwenye maisha yako
Shauri limefungwa rasmi
 
Mwanaume wa kweli hawezi kuuliza swali la kiboya kama hili. Maswali na hoja ambazo zinaletwa hapa JF kuhusu mahusiano zina dalili zote kwamba wanaume halisi wanapungua kadri siku zinavyoenda.
Haya nayo ni maoni yako na yanapaswa kuheshimiwa
 
Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.

Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Kati ya Me na Ke, nani alitangulia duniani?.

Usimpangie Mungu.

Au nasema uongo MONSTER
 
Eva sijui Hawa ni msaidizi wa Adam kwa kila kitu tena msaidizi wa kufanana naye kutoka ubavuni pake!

Hata jina HUMUJUI 😁🙏😁

WANAWAKE WANATUCHANGANYA SANA KIONGOZI.
 
Hii ni product ya malezi ya single father ...pole

Uhalisia wanaume wanahitaji wanawake zaidi ya wanawake wanavyohitaji wanaume

Lakini ikitumika busara,sisi wote tunahitajianSi

Hii ni product ya malezi ya single father ...pole

Uhalisia wanaume wanahitaji wanawake zaidi ya wanawake wanavyohitaji wanaume

Lakini ikitumika busara,sisi wote tunahitajiana
Sio uhalisia Huo mnajidanganya Tu!
 
Mwanamke ukikaa nae vizuri utaenjoy sana ila ukimvuruga tu ni sekunde kukuharibia na huwa hawajali kabisa.

Ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Sasa mnafatiliaga wanawake wa Nini?..Kila mtu abaki alipo.
 
Back
Top Bottom