Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
 
Kutokujua kiingereza ni ujima?
 
Ukweli mchungu..
Subiri kupopolewa na ma CHAWA
 
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
Umeongea ukweli mchungu.
 
Nyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi

Hapa ndio shida zote zilipoanzia

Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk

Nyerere angemwachia nchi mzalendo

Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85

Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma
 
Haki ya Mungu najapia
 
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
Uko sahihi kabisa. Mimi nadhani tatizo ni elimu. Kukumbatia kiswahili kumetufanya tujitenge kama kisiwa. Watu hawana uwezo wa kusoma na kujifunza sehemu nyingine duniani wanaishije. Raia wanalishwa upupu uliochujwa kutoka kiingereza kwenda kiswahili kwa kadiri viongozi wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom