Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
You are very stupid to think speaking English is being smart. English its just a language like any other language.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Tunakemea tabia za kiupinde.