Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanaoongoza KwaSaa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Hapa afrika mashariki umeishi nchi zipi na kwa muda gani? Ni raia wa nchi ipi Wana unafuu wa maisha yao binafsi?Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
UdiniMwinyi ni bora mara milioni kwa Nyerere
Best presidents kwangu
1 Samia
2 Mwinyi
3 Kikwete
Ukweli mchungu pamoja na kwamba Kuna "wajima" wanamuona huyo Nyerere kama malaika yeye ndio Chanzo Cha Matatizo(CCM) yote haya. Kazi yake ilikuwa moja tu kuleta uhuru basi. Suala la urais baada ya kumuondoa mkoloni na kuleta maendeleo alitakiwa kumuachia Oscar Kambona.Nyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi
Hapa ndio shida zote zilipoanzia
Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk
Nyerere angemwachia nchi mzalendo
Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85
Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma
memkwa huwa wanakofidensi sana, inahitaji utulivu na umakini sana kuwaelewa 🐒Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
HakikaInasikitisha sana mkuu
Mambo ya ajabu sanaTunajifanya kukumbatia kiswahili na kukiacha kiingereza eti ndio uzalendo Kwa mtazamo wa ccm
Lakini Cha kushangaza wakenya ndio wameja Marekani,Ulaya na Asia wakifundisha lugha ya kiswahili katika vyuo mbalimbali
Well said. Hata jinsi tunavyomshambulia mtoa mada ni kigezo tosha kuhusu level ya elimu, level ya uelewa wetu. Hakuna kibaya alichosema. Watanzania mtu akitoa hoja nzito tuna mtindo wa kuacha hoja yenyewe na kushambulia either personality ya mtoa mada au kupekenyua sehemu ndogo ya andiko ili kukosoa huku tukiiacha mada yenyewe. Nafikiri mwandishi ametumia Kiingereza chetu duni akilinganisha na Kenya ili kuchombeza na kusisimua mada. Ila THEME kuu ilikuwa ni mifano ya utoporo inayohakisi ujinga na uvivu wetu. Huo ndio ukweli.Mwenye mada akisema tuna reverse progress anakuzungumzia ww na halaiki ya wenye fikra kama zako , alichosema kwani ni uongo??? Au kila kibaya tunapitia ni wakenya ndio issue ?? Viongozi we2 mnawapa escape route kwa kila jambo , hakuna accountability . Sikuombei mabaya
Kagonjeke au pata ajali moreso kapate kesi na bwanyenye yyte uone regression iliyopo nchini , uchumi upo kwa mapipa, vijana wapo tu mtaani hawana namna, ke vijana kujiuza ndio biashara rahisi kwao .
Swali langu kama mzee ni kwa nni vijana hamuwaweki wanasiasa kwenye corner ??
Kila tatizo mnasema mara marekani, mara Rwanda sijui Kenya Ohh wayahudi ...
Miaka kumi ijayo tunaelekea pabaya sana tena sana kama nchi
Tulikuwa tunatia aibu katika shindano la maswali vyuo vikuuvya Afrika Mashariki lilikuwa linafadhiliwa na kampuni ya TOYOTA, kila mara tilikuwa wamwisho.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Ni kweli nadhani kielimu wanaanza Kenya,then Uganda,then tunakuja sisi utopolo,I doubt Rwanda watakua wametupita.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Mbona Zimbabwe, Malawi, Zambia, Haiti ni masikini wa kutupwa?Uko sahihi kabisa. Mimi nadhani tatizo ni elimu. Kukumbatia kiswahili kumetufanya tujitenge kama kisiwa. Watu hawana uwezo wa kusoma na kujifunza sehemu nyingine duniani wanaishije. Raia wanalishwa upupu uliochujwa kutoka kiingereza kwenda kiswahili kwa kadiri viongozi wanavyotaka.
Ulitaka wa mwisho iwe nchi gani?Tulikuwa tunatia aibu katika shindano la maswali vyuo vikuuvya Afrika Mashariki lilikuwa linafadhiliwa na kampuni ya TOYOTA, kila mara tilikuwa wamwisho.
Dah ila mnawazaga mbali sana😂😂😂😂😂Huyo itakua Mkenya. Kiingereza kingi anashindwa kumudu kilo ya sembe.
Ukiona watu/mtu anaacha mada iliyomezani na kushambulia personality, kabila, rangi, nchi etc ujue huyo au hao watu hawana majibu ya hoja, au ni mazuzu. Hoja ya jamaa ni hoja nyeti sana na ameweza kutoa mifano michache tu. Bottom line elimu yetu dhaifu na social life yetu ya kiswahili na uswahili vimetuathili sana, hatuko serious kwenye almost mambo yote ya msingi, Wewe fikilia nchi imefikia mahali ili upande cheo lazima uwe chawa na kila mtu anajitahidi kuwa chawa, ujinga mtupu. Vijana wameacha kufanya mambo ya maendeleo,tumeishia kuwa mashabiki wa mipira, watu wa kubeti, watu wa kupenda starehe kuliko kazi. Yaani ni aibu sana kama nchi.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz