Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
You are very stupid to think speaking English is being smart. English its just a language like any other language.

Tunakemea tabia za kiupinde.
 
Ila kusema ukweli hawa wahuni wanazichezea sana akili zetu. Wananchi tunatakiwa tufanye jambo kubwa na la kihistoria, kabla mambo hayaja haribika kabisa.
 
Nyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi

Hapa ndio shida zote zilipoanzia

Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk

Nyerere angemwachia nchi mzalendo

Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85

Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma
Uzawa
 
Imagine kupata tu pasipoti bado ni shughuli pevu. Wakati wenzetu wanafungulia vijana wao waende huko nje wakapate exposure na kuona dunia inavyokwenda, sisi ndiyo kwanza tunawafungia vijana wetu hata waliohitimu chuo kikuu ili waishie kuendesha bodaboda na kuwa madalali. Mwisho wake hata sijui ni nini.

Hii kusema kweli ni nchi ya ajabu sana!
 
Sasa vilaza si ndo tumewapa mamlaka,hivyo kutokea hayo ni jambo la kawaida Sana
Mtu alikuwa anadream kuwa kondakta wa ndege🤣🤣halafu mnampa madaraka na mamlaka makubwa🤣🤣🤣
 
mzeyi kwa nn unatokana? n mkulima swali unan Turkana ceteit ausi simple que sela
Hakuna tusi hapo mkuu.
Nimetoa ufafanuzi tu wala sijatukana....

Je unaamini katika hoja ya kuwa Watanzania tusiojua kiingereza ni mazoba?

Pia wewe kiswahili chako ni kama unatutukana vile waswahili sisi watukuka
 
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
Nenda china uone kama kingereza ni dili sana. Ama kwa Kim Jong un, lakini hayo mataifa yametuacha mbali sana. Putin kwake wanatumia kirusi kuwasiliana. Wahindi vilevilr.

Ukiachilia mbali uzoba wa watanzania kujisifia kiingereza, hakuna cha maana ambacho tunaweza kujivunia tuwapo nje ya nchi.
 
Ukweli usemwe ujinga na lugha Tanzania iko level za ujima, nenda kwenye international spaces or forums utaona Uzoba wa wabongo ni aibu, angalia bunge la bongo ndio kioo Cha Uzoba
 
Huyo itakua Mkenya. Kiingereza kingi anashindwa kumudu kilo ya sembe.
Mwenye mada akisema tuna reverse progress anakuzungumzia ww na halaiki ya wenye fikra kama zako , alichosema kwani ni uongo??? Au kila kibaya tunapitia ni wakenya ndio issue ?? Viongozi we2 mnawapa escape route kwa kila jambo , hakuna accountability . Sikuombei mabaya
Kagonjeke au pata ajali moreso kapate kesi na bwanyenye yyte uone regression iliyopo nchini , uchumi upo kwa mapipa, vijana wapo tu mtaani hawana namna, ke vijana kujiuza ndio biashara rahisi kwao .
Swali langu kama mzee ni kwa nni vijana hamuwaweki wanasiasa kwenye corner ??
Kila tatizo mnasema mara marekani, mara Rwanda sijui Kenya Ohh wayahudi ...
Miaka kumi ijayo tunaelekea pabaya sana tena sana kama nchi
 
Tunajifanya kukumbatia kiswahili na kukiacha kiingereza eti ndio uzalendo Kwa mtazamo wa ccm

Lakini Cha kushangaza wakenya ndio wameja Marekani,Ulaya na Asia wakifundisha lugha ya kiswahili katika vyuo mbalimbali
 
You are very stupid to think speaking English is being smart. English its just a language like any other language.

Tunakemea tabia za kiupinde.
You're missing the point hapa,unaezaje kuelezea uchawa, lack of accountability yaani issue kama dollar crisis nchini unaskia janaume lizima likisema allah atuepishie, kama mkristo Yesu atuepishie , anawahepushia Ujinga tunaojitakia, mchina kila kitu anafanya kichina kizungu not that much mbona wameendelea?? Ujinga uliopo nchini ni mwingi na walio serikalini wanatake advantage
 
Sasa hapo ni ufahamu hakuna uhusiano wa kufahamu kiingereza. Ni kwamba watanzania wengi wawe wanajua kiingereza au hawajui. Hawatumii akili.
 
kama bado tunadhani kujua kingereza ndio kuwa na maarifa au uwezo wa kufikiri, nakubaliana nawewe watanzania ni mazoba.
 
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.

Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.

Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo

Ndio hivo tu imezwe tu

Wadiz
Kwa nini hauwezi kujieleza?
 
Nyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi

Hapa ndio shida zote zilipoanzia

Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk

Nyerere angemwachia nchi mzalendo

Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85

Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma

Mwinyi ni bora mara milioni kwa Nyerere

Best presidents kwangu
1 Samia
2 Mwinyi
3 Kikwete
 
Watanzania wengi hawajui kiingereza, na miongoni mwao kuna matajiri waliowaajiri wasomi.

Najivunia kuongea kiswahili lugha yangu pendwa na asili+Arabic language

Kiingereza tupa huko❌❌❌❌❌❌

Mzee wa Copenhagen tukamtadika goli ngapi vile! Maghayo
 
Back
Top Bottom