Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kutokujua kiingereza ni ujima?Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Huyo itakua Mkenya. Kiingereza kingi anashindwa kumudu kilo ya sembe.Kutokujua kiingereza ni ujima?
onasikitika sana kwann?Inasikitisha sana mkuu
ujima nn nn mzeeyi?Kutokujua kiingereza ni ujima?
Sijasoma mada hvy cjui kipi Kinachosikitishaonasikitika sana kwann?
Ukweli mchungu..Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Si unakumbuka Kenya ilisapoti kura ya veto ya Marekani ili Makaburu Afrika ya Kusini wasiwekewe vikwazo vya kimataifa?Huyo itakua Mkenya. Kiingereza kingi anashindwa kumudu kilo ya sembe.
Unataka tafsiri au maana?ujima nn nn mzeeyi?
Umeongea ukweli mchungu.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz
Haki ya Mungu najapiaNyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi
Hapa ndio shida zote zilipoanzia
Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk
Nyerere angemwachia nchi mzalendo
Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85
Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma
y imbecile?Kuwa mjinga si vibaya sana. But kuwa mpumbavu kama wewe ni ulemavu mbaya sana. Yaani hata ukiwa mixed na garlics haubadiliki unabaki kuwa mpumbavu very smart
Kwa sababu hapo ulipo unasubiri kuvushwa barabara 😂y imbecile?
Uko sahihi kabisa. Mimi nadhani tatizo ni elimu. Kukumbatia kiswahili kumetufanya tujitenge kama kisiwa. Watu hawana uwezo wa kusoma na kujifunza sehemu nyingine duniani wanaishije. Raia wanalishwa upupu uliochujwa kutoka kiingereza kwenda kiswahili kwa kadiri viongozi wanavyotaka.Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama masaki, oysterbay , etc, ukiona aina ya uchawa uliopo, ukiona akili za utatuzi wa migogoro za hovyo.
Nchi ya Tanzania ni nchi ya kijima kwenye kila kitu, a country with reverse progress.
Endeleeni na Uzoba Dunia itawakuta mlipo
Ndio hivo tu imezwe tu
Wadiz