Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

Ene o idie nkibiribirat Wadiz kama hujaelewa napaswa kukuita zoba?
 
Ila wanaoongoza Kwa
Kuamini miujiza

Kuamini unajimu wa Nyota

Waganga na uchawi

Majungu na fitna

Lawama na ushabiki maandazi
 
Hapa afrika mashariki umeishi nchi zipi na kwa muda gani? Ni raia wa nchi ipi Wana unafuu wa maisha yao binafsi?
 
Nyerere alikosea kumwachia nchi mwinyi

Hapa ndio shida zote zilipoanzia

Ufisadi
Rushwa
Upendeleo
Nk


Nyerere angemwachia nchi mzalendo

Wakati nyerere anaondoka madarakani 84 na 85

Haki ndio ilikuwa msamiati mzuri kila ofisi ya umma
Ukweli mchungu pamoja na kwamba Kuna "wajima" wanamuona huyo Nyerere kama malaika yeye ndio Chanzo Cha Matatizo(CCM) yote haya. Kazi yake ilikuwa moja tu kuleta uhuru basi. Suala la urais baada ya kumuondoa mkoloni na kuleta maendeleo alitakiwa kumuachia Oscar Kambona.
 
Acha kufuatilia siasa dogo....zitakufanya uwe frastruated na usilazimishe matokeo au vitu unavyohisi kuwa ni sahihi. Kila mtu ana mtazamo wake na maamuzi yake. Pambana tafuta pesa na kujenga maisha yako binafsi usitegemee siasa zitakutoa katika dimbwi la umaskini.


Otherwise unaweza kuijdharau
 
memkwa huwa wanakofidensi sana, inahitaji utulivu na umakini sana kuwaelewa πŸ’
 
Tunajifanya kukumbatia kiswahili na kukiacha kiingereza eti ndio uzalendo Kwa mtazamo wa ccm

Lakini Cha kushangaza wakenya ndio wameja Marekani,Ulaya na Asia wakifundisha lugha ya kiswahili katika vyuo mbalimbali
Mambo ya ajabu sana
 
Well said. Hata jinsi tunavyomshambulia mtoa mada ni kigezo tosha kuhusu level ya elimu, level ya uelewa wetu. Hakuna kibaya alichosema. Watanzania mtu akitoa hoja nzito tuna mtindo wa kuacha hoja yenyewe na kushambulia either personality ya mtoa mada au kupekenyua sehemu ndogo ya andiko ili kukosoa huku tukiiacha mada yenyewe. Nafikiri mwandishi ametumia Kiingereza chetu duni akilinganisha na Kenya ili kuchombeza na kusisimua mada. Ila THEME kuu ilikuwa ni mifano ya utoporo inayohakisi ujinga na uvivu wetu. Huo ndio ukweli.
 
Tulikuwa tunatia aibu katika shindano la maswali vyuo vikuuvya Afrika Mashariki lilikuwa linafadhiliwa na kampuni ya TOYOTA, kila mara tilikuwa wamwisho.
 
Acha inyeshe ila kwa wenye exposure aibu tunayokutana nayo ni kubwa sana ukweli usemwe tena bila aibu
 
Ni kweli nadhani kielimu wanaanza Kenya,then Uganda,then tunakuja sisi utopolo,I doubt Rwanda watakua wametupita.

Aisee,we have alot of work to do for ourselves
 
Mbona Zimbabwe, Malawi, Zambia, Haiti ni masikini wa kutupwa?
 
Ukiona watu/mtu anaacha mada iliyomezani na kushambulia personality, kabila, rangi, nchi etc ujue huyo au hao watu hawana majibu ya hoja, au ni mazuzu. Hoja ya jamaa ni hoja nyeti sana na ameweza kutoa mifano michache tu. Bottom line elimu yetu dhaifu na social life yetu ya kiswahili na uswahili vimetuathili sana, hatuko serious kwenye almost mambo yote ya msingi, Wewe fikilia nchi imefikia mahali ili upande cheo lazima uwe chawa na kila mtu anajitahidi kuwa chawa, ujinga mtupu. Vijana wameacha kufanya mambo ya maendeleo,tumeishia kuwa mashabiki wa mipira, watu wa kubeti, watu wa kupenda starehe kuliko kazi. Yaani ni aibu sana kama nchi.

Nakubali kujua kiingereza sio kipimo cha akili, ila tutabishana mpaka kesho lazima tuandae kizazi chetu kiweze kukabiliana na utandawazi wa kidunia. Sisi ni wabishi ila ukweli unabakia palepale. Mawasiliano na report nyingi za kiserikali zinaandikwa kizungu, mahakama, report za kibenki, masomo yote sekondari mpaka university. Just imagine unajifunza masomo magumu kwa kutumia lugha husiyoielewa unategemea nini,halafu mjinga mmoja anapinga. Kama tuko smart basi tubadilishe hata lugha ya kufundishia.Hatuwezi kwa sababu ni wavivu na upeo wetu ni mdogo kweli.

Wewe ukitaka kujua utoporo wa wabongo, anzisha mada ngumu zinazohitaji critical thinking na wide analysis, hapo ndipo utawajua wabongo tulivyo mbumbumbu. Angalia jinsi walivyomshambulia mtoa mada aliyejitolea kuusema ukweli. Ifike mahali tubadilike. Hatuwezi kujilinganisha na wakenya kabisa, sisi ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…