Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.

Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao maarufu na waliweza na wanaendelea kutikisa vivlivyo

Baada ya Lagos Nigeria kuingiza Kwa makanisa Afrika mbeya inashika namba mbili Afrika Kwa makanisa mengi.


Wachungaji:

Mwamposa (Bulldozer)
Mwalimu Mwakasege
Lusekelo (Mzee wa upako)
Mwaisapile (Babu wa Loliondo)

Waimba Gospel

Bahati Bukuku
Bony Mwaitege
Christopher Mwahangila
Ambwene Mwasongwe
Martha Mwaipaja
Edson Mwasabwite.
Ambwene Mwasongwe
Edson Mwasabwite.
Dkt. Ipyana
Mwansasu
Paul Clement
 
11012194.jpg
 
Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima...
Wapi wasukuma 🤓🤓😊😊
 
Ongeza na wachungaji hawa, mwakibolwa, mwakitalima, mwaisabila na wengine wengi wenye asili ya mkoa huo wenye majina yanayoanzia na 'A'. Mkoa wa kigoma wenyewe wana kipaji cha ualimu wa neno la Mungu.

Watu wa kigoma wanafundisha neno la Mungu kwa marefu na upana, wide and deep. Wanajua kuichambua biblia, mikoa mingine tunawatafuta wanaweza nini katika kulijua neno la Mungu
 
Back
Top Bottom