Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

Duh ...!. Amini usiamini, japo mimi ni Msukuma, sijabahatika kwa dada zangu!, ama kweli kwenye miti, hakuna wajenzi!, maana mimi kwa kupiga misosi... Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
Haahaha, mie nina nyota na hawa dada zetu uwa nikija bongo kila nikigusa mzigo nakuta ni dada yangu basi nawacharaza haswa wa poti, si unajua kizuri kula na nduguyo. Sijawahi kupata mnyakyusa na ujanja wote, nafikiri nina nyota na kanda ya ziwa haswaa wa poti.
 
Endelea hivyo hivyo kujilia nyakula vya kunyimwa, maana usije kupita Mbeya, Kisha ukapita ukapita Bukoba, ukachanganyikiwa kabisa!. Watu wanasifu sana maharage ya Mbeya wanasema maji mara moja tuu, na ni matamu ila Bukoba... ni hatari!, danger kabisa!, ukipita, nyumbani unahama!. Unahamia huku jumla!.
P
 
Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.

Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao maarufu na waliweza na wanaendelea kutikisa vivlivyo

Baada ya Lagos Nigeria kuingiza Kwa makanisa Afrika mbeya inashika namba mbili Afrika Kwa makanisa mengi.

Wachungaji:

Mwamposa (Bulldozer)
Mwalimu Mwakasege
Lusekelo (Mzee wa upako)
Mwaisapile (Babu wa Loliondo)

Waimba Gospel

Bahati Bukuku
Bony Mwaitege
Christopher Mwahangila
Ambwene Mwasongwe
Martha Mwaipaja
Edson Mwasabwite.
Ambwene Mwasongwe
Edson Mwasabwite.
Dkt. Ipyana
Mwansasu
Paul Clement
Ukimwacha Boaz Dankan hii list yako tayari imeharibika
 
Ongezea Joe Davie yule wa Arushs

Haaaaaaaaa!!!,inaitwa tafsida
 
Back
Top Bottom