Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.
Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao maarufu na waliweza na wanaendelea kutikisa vivlivyo
Wachungaji:
Mwamposa (Bulldozer)
Mwalimu Mwakasege
Lusekelo (Mzee wa upako)
Mwaisapile (Babu wa Loliondo)
Waimba Gospel
Bahati Bukuku
Bony Mwaitege
Christopher Mwahangila
Ambwene Mwasongwe
Martha Mwaipaja
Edson Mwasabwite.
Ambwene Mwasongwe
Edson Mwasabwite.
Dkt. Ipyana
Mwansasu
Paul Clement