Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Huyo Simfukwe sio Mnyakyusa, ni wa kabila huko Mbeya wanaitwa wasafwa
Wamambwe/Wanyamwanga!Huyo Simfukwe sio Mnyakyusa, ni wa kabila huko Mbeya wanaitwa wasafwa
Hela,kule Mbeya zaidi ya viazi mviringo na Kitimoto hakuna kitu.Lipenenga la kinyakyusa Wanyakyusa wako vizuri jamani.
Najivunia kuwa mnyakyusa Sijui hapa Dar natafuta nini ambacho halipo Mbeya.
Viva Wakina mwaisa wote
Vibaka pia!Naunga mkono hoja, Mbeya wavishwe taji. Tena nadhani Mbeya ndio inaongoza kwa madhehebu mengi!.
P
Kadhalika ua ndishwaji wa madhehebu mengi mpaka wengine wanaishi kwa 0 costUkiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.
Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao maarufu na waliweza na wanaendelea kutikisa vivlivyo
Wachungaji:
Mwamposa (Bulldozer)
Mwalimu Mwakasege
Lusekelo (Mzee wa upako)
Mwaisapile (Babu wa Loliondo)
Waimba Gospel
Bahati Bukuku
Bony Mwaitege
Christopher Mwahangila
Ambwene Mwasongwe
Martha Mwaipaja
Edson Mwasabwite.
Ambwene Mwasongwe
Edson Mwasabwite.
Dkt. Ipyana
Mwansasu
Paul Clement
Ukiacha mkoa wa Mbeya wapo Malawi,sehemu itaitwa Ntipa,mkoa iMzuzi,wanatandika kinyakyusa Cha Ndani kama Wamarekani weusi wanaitwa wa Ng'onde!Wanyakyusa wengine wako mkoa gani ukiacha mbeya???
Dogo kwa upande wa Tz, lakini ni kabila kubwa sana huko Zambia.Mnyamwanga huyo,Kuna kina simkoko,silavwe,sichone,Sikazwe,simfukwe ni kabila dogo kiasi flan
Hela inathamani kule kama Dollar,lakini pia kuna maparachichi aina ya Hassy ambayo huingiza hadi pesa za kigeni!Pia kuna magimbi,mihogo,miti ya mbao ,madini ya dhahabu chunya huko na mengine mengi.Hela,kule Mbeya zaidi ya viazi mviringo na Kitimoto hakuna kitu.
Naelewa mkuu mie Bibi mzaa mama ni mnyamwanga wa Zambia.Dogo kwa upande wa Tz, lakini ni kabila kubwa sana huko Zambia.
Kuna parachichi aina ya hassy, kuna ndizi, kuna mchele kuna kawaha pia kuna chai ushindwe wewe tuHela,kule Mbeya zaidi ya viazi mviringo na Kitimoto hakuna kitu.
upijile malafyaleUkiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.
Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao maarufu na waliweza na wanaendelea kutikisa vivlivyo
Wachungaji:
Mwamposa (Bulldozer)
Mwalimu Mwakasege
Lusekelo (Mzee wa upako)
Mwaisapile (Babu wa Loliondo)
Waimba Gospel
Bahati Bukuku
Bony Mwaitege
Christopher Mwahangila
Ambwene Mwasongwe
Martha Mwaipaja
Edson Mwasabwite.
Ambwene Mwasongwe
Edson Mwasabwite.
Dkt. Ipyana
Mwansasu
Paul Clement
Masasati, mapora, numbu, makusa ushindwe wewe tuTukuyu kuna Mafyurisi, Matema beach pia, haahaha
Matunda yapo ya kutosha, ndizi matoki, uganda , malindi, ndyari zinapatikana, mahindi, maharage, Mchele, magimbi, mihogo, viazi mbatata, Karanga, ngano ya mabumunda, njegere, yaani full kunenepa tu makalio na vitambiHela,kule Mbeya zaidi ya viazi mviringo na Kitimoto hakuna kitu.