Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Wazinzi wengi[emoji13][emoji13]
 
Hiyo nitakua siji tena kuna mmoja aliniambia, Baada ya show takatifu maana alianza dharau za hapa na pale.
Nikajisemea tu moyoni ipo siku ukiingia 18 utafuta dharau zote.
 
"sumenambia nije kukutembelea tuu"
"mi sijazoea romance"
"mbona hujibu text au nirudi"
"nmefika mbona haupo"
"a a a apana mi sikuuuja kwa kwa kwa ajili hiyo"
"mbona lakini unanifanyia iv ??"
"mi nataka kuondoka"
"a a a a usiiii a a a mi ntakuchukia"



mbona macho mekundu? apo baharia unakuw unapiga nae story ila akili inawaza hapa naanzaje kumshika na kumhamishia kitandani.
 
Nakuja upo wapi?

Nimeshafika uko wapi?

Yani hizi kauli nikiskia asee nakuwa kama nimeshinda jackpot Sportpesa 208 millionπŸ˜…πŸ˜‚

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hee we mbona unakadudu kadogo hivi..
Hata nilisikia basi ndo kwanza nikawanaweka tu mara nikasikia wewe sio hapo..[emoji1787][emoji1787]

Baharia nilikuwa naharaka..[emoji1787][emoji1787]

Daah... nimecheka kishenzi [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…