Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Vinakua vigeni vya Mapenzi
 
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
Nakuja Ila naishia sebuleni
 
"Getho upo na nani"?
Hapo kidume hata kama nipo na washkaji lazma jibu liwe nipo peke angu... Washkaji ntajua namalizana nao vp
 
-Sasa hivi sijisikii kuwa kwenye mahusiano maana wanaume wote ni wale wale
-sina vocha baby
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
mi nakusikiliza wewe
 
"naogopa sijawahi

sasa sijui anakuwa anafikiri n kutegua bomu
 
Uzi wa wazinzi... afu wanamlaumu Magu kwa UFISADI huku mnawafanya watoto wa watu wenye wazazi wao

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
HAPO KUNA TYPE A B NA C

TYPE A (wale 18-20 yrs)
"nije kwako kufanya nn kwan kwenye cm hatuwez kuongea"

TYPE B (wale 20-24)
"nakuja ila nakuja tuongee tuu sawa"
"niko period"
"ukiniumiza mi sijawah"

TYPE C(wale 25-28)
"utaniweza kweli"
"sio nivue nikute unakibamia"


HITIMISHO (wale 30+)
"umeniita getho nataka show iwe show kweli huwa sipendi kubak na nyege zangu"
"mbona unapindisha pindisha sema ukwel leo unataka kunigegeda"
"nivue chupi au unaisogeza tuu[emoji1][emoji383]"
BAADA YA GAME :anakwambia HONGERA UMEJITAHID SIO KAMA KINA JOHN[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…