Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Kumbuka ya kuwa gari bovu halivutwi na gari bovu bali linautwa na gari nzima.wanasema bunge ni la wawakilishi wa wananchi, kwa hiyo wananchi wote wanawakilishwa bungeni ndio maana kuna mpaka wabunge waganga wa kienyeji, wachungaji, wasanii na wapuuzi wengine usishangae kuona mbunge bogus!
Kwahiyo hata bogus na mganga wa kienyeji inafaa wawakilishwe na mtu mwenye elimu.