Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
NImetafakari hili jambo nikaona bora tuwaze pamoja.
Mbunge wa CCM hata akikaa jimboni miaka 10 hadi 15 na wengine miaka 20 wakiachia jimbo tu huwa wanakuwa na maisha yasiyoridhisha.
Ukiachana na wabunge kama Rostam Azizi ambaye hata kwenye ubunge wake alionekana kuwa smart sana kwa kuwaletea maendeleo wana Igunga.
Pesa huwa wanazipeleka wapi? Au kuna chuma ulete?