Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Jambazi Rostam Aziz hana kampuni yoyote anayo miliki vyote vilikuwa mali ya nchi kajitwalia na kuvifanya vyake...hata CCM NA SERIKALI NI MALI ZAKE NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI ....ANAUA YOYOTE ANAYE MTAKA ...ASHITAKIWI KWA LOLOTE YUPO JUU YA HAKI YOTE NA SHERIA ZOTE ....Huyu hapa Lwiva inaonekana alifukuzwa kazi kwenye kampuni ya Rostam, maana sio kwa hasira hizi hatakwenye jukwa la mapishi kama akiona haupendi huo msosi lazima amtaje Rostam.....