Ukiachana na Rostam ni Mbunge gani wa CCM baada ya kukosa Ubunge aliendelea kuwa na maisha mazuri?

Ukiachana na Rostam ni Mbunge gani wa CCM baada ya kukosa Ubunge aliendelea kuwa na maisha mazuri?

Ngozi nyeupe, wengi wanawekeza kwenye biashara zinazojiendesha kwa faida, ata anapopata uongozi si kwa sababu ya kutaka pesa, bali ni katika kufanikisha malengo yao ya kiutafutaji.
Ila kwa sisi weusi ambao tunataka uongozi ili tupate pesa, inapofikia hujapata uongozi, hali inakuwa hovyo ata kama waliwekeza kila sehemu; mapato hushuka, na kupelekea kuishi maisha chini ya bajeti aliyoizoea.​
 
Sasa hivi ni sisimizi siku akiwa waziri mkuu ndio ataisoma namba.
Mmh,alishindwa magufuli kwa Rostam ataweza Pm? unamchukulieaje kwani huyo jamaa? Jamaa ana akili sana na ana mtandao mkubwa wa kila kitu
 
Naziri karamagi
Huyo ni Don ndo alikuwa ana tenda ya kuendesha bandarin kupitia kampuni ya TICS pia ana bonge la mshamba kule morogoro yaan ana assets nyingi huyo jamaa pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa sasa
 
Back
Top Bottom