cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. vijisenti
2. hela ya mboga

MikocheniWako wapi hawa majembe
Labda kweli kuna chuma ulete.NImetafakari hili jambo nikaona bora tuwaze pamoja.
Mbunge wa CCM hata akikaa jimboni miaka 10 hadi 15 na wengine miaka 20 wakiachia jimbo tu huwa wanakuwa na maisha yasiyoridhisha.
Ukiachana na wabunge kama Rostam Azizi ambaye hata kwenye ubunge wake alionekana kuwa smart sana kwa kuwaletea maendeleo wana Igunga.
Pesa huwa wanazipeleka wapi? Au kuna chuma ulete?
Wako vizuri sana.Mikocheni
Hakuna wa kumgusa Rostam nchi hii. HayupoooSasa hivi ni sisimizi siku akiwa waziri mkuu ndio ataisoma namba.
HaswaaaWako vizuri sana.
MkonoBado namuwaza sipati picha
Hivi hujui kuwa Rostam Aziz ni Rais kivuli tangu awamu ya tatu hadi hii ya sita, huyu Muajemi ndiye anawasimika watawala wa nchi hii au kwa Kisukuma tunasema ni King maker .NImetafakari hili jambo nikaona bora tuwaze pamoja.
Mbunge wa CCM hata akikaa jimboni miaka 10 hadi 15 na wengine miaka 20 wakiachia jimbo tu huwa wanakuwa na maisha yasiyoridhisha.
Ukiachana na wabunge kama Rostam Azizi ambaye hata kwenye ubunge wake alionekana kuwa smart sana kwa kuwaletea maendeleo wana Igunga.
Pesa huwa wanazipeleka wapi? Au kuna chuma ulete?
Sawa.Kadiri uwezavyo ili wawe mfano mzuri
Thank youSawa.
1. Jakaya Mrisho Kikwete aliyeenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2. Dk. Alli Hassan Mwinyi Rais wa Serikali ya Zanzibar na Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
3. Mh. Mo Dewji tajiri namba moja Tanzania
4. Mh. Anna Makinda anayesemekana kuwa miongoni mwa wanasiasa kumi matajiri Tanzania.
5. Mh. Andrew Chenge Bilionea na mkulima wa mpunga mkubwa Kanda ya Ziwa anayeingiza zaidi ya sh. bilioni moja kwa mwaka. Shamba lipi Magu.
6. Mh. Prof. Anna Tibaijuka Bilionea anayemiliki shule, mashamba na biashara nyinginezo ndani na nje ya nchi.
7. Mh. Fredrick Tluway Sumaye Bilionea anayemiliki hisa nyingi kwenye kampuni mbalimbali zikiwemo TBL na CRDB ambapo magawio yake kwa mwaka hayapungui zaidi ya sh. bilioni moja. Hapo hujaweka mashamba ya Morogoro, Iringa, Manyara na kwingine.
8. Mh. Nadhiri Karamagi Bilionea aliyekuwa anamiliki TICTS kampuni iliyokuwa inapakua mizigo bandarini.
9. Mh. Anthony Diallo Bilionea na mmiliki wa Star TV, Redio Free Africa, Star Times na miradi mingine mbalimbali!
10. Mh. Mizengo Pinda maarufu kama Mkulima Bilionea pale Dodoma.
11. Mh. Nyambari Nyangwine Bilionea aliyepewa zabuni ya kuchapisha vitabu vya masomo yote ya shule za sekondari Tanzania vya Mtaala Ulioboreshwa.
NB: Hapa Jijini Mwanza tupo na waliokuwa wabunge wa Chadema wawili Mh. Machemli (Ukerewe, Chadema 2010/2015) anayeshinda Sokoni Buhongwa anakunywa mataputapu na rafiki yake Mh. Aines Kiwia (Ilemela, Chadema, 2010/2015) ambaye ana kijiwe cha kitimoto hapo Mtaa wa Shibayi, Buhongwa.
Hii List imejitoshelezaSawa.

🙏🙏🙏🙏Hii List imejitosheleza
Mo dewj pia aliacha na hataki usengerema wao siku hiziRostam aliacha, hakukosa.
Lazaro Nyalandu
Unayapima kwa fimboyaukwajumaisha mazuri unayapimaje?
Edward lowasaNImetafakari hili jambo nikaona bora tuwaze pamoja.
Mbunge wa CCM hata akikaa jimboni miaka 10 hadi 15 na wengine miaka 20 wakiachia jimbo tu huwa wanakuwa na maisha yasiyoridhisha.
Ukiachana na wabunge kama Rostam Azizi ambaye hata kwenye ubunge wake alionekana kuwa smart sana kwa kuwaletea maendeleo wana Igunga.
Pesa huwa wanazipeleka wapi? Au kuna chuma ulete?
Nemrod handMtu wa Musoma nimemsahau jina
Andrew chengeNaziri karamagi