Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Unaonekana tu ....miaka 90 katka ndo yako kweli n mpole na mkarimu....Kama profile yako[emoji3]
 
With exception of BAK he is totally different person outside JF [emoji12][emoji12][emoji12]
Weka picha tuone how different you are in a real world[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Ni makubwa sana kiongoz
Hakuna utakachopitia ambacho Ni kipya chini ya jua.

Usione watu wanatembea barabarani...wanakatiza ofisini na cheko Kama lote.....watu wamebeba mizigo ndani ya nyoyo zao.

Mpaka siku watakayojidhuru ama akili zitawaruka ndo picha unaanza kuonekana. Do not allow that.

If you looked at me. Huwezi kuamini nimeshapitia mtihani wowote maishani mwangu. Am so full of life, jovial and without a care. Hii ninkwasababu najua nilichokipitia. So chochote kinachonikuta huwa najitahidi kumalizana nacho fasta kisinizowee na kuniwekea majonzi kwenye nafsi yangu.

Na nikikuambia talk is therapy. I mean it. Talk to people. Hata anonymously hapa JF. But just talk and don't be afraid of being judged. Utapata relief.
 
Usikariri maisha wewe, wengine humu hawafanani na uhalisia hata 10%
right, tena wengi humu wanafake sana japo wanajifanya ndo walivyo katika uhalisia, kuna member ninaowafaham humu ndani yaani vituko wanavyofanya huku ndani huwezi amini ukikutana nao, hua tunacheka sana tukipiga stori, wao hudai huku ni sehem ya kutafuta furaha na kurefresh mind ndo maana wanajiweka vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…