Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Mimi ni mmoja wa watu ambao tabia zangu za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia!

Sijui kwanini watu wanabisha hiki kitu lakini kiukweli tupo watu wa aina hii tena wengi tu!
right bt hata wanaobisha wanajua mkuu.
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao tabia zangu za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia!

Sijui kwanini watu wanabisha hiki kitu lakini kiukweli tupo watu wa aina hii tena wengi tu!
Hauwezi kuwa tofauti sana, yaani hata ukijichetua au ukijivika ngozi ya kondoo lazima uhalisia wako utajitokeza tu.
 
In real life unafaa kabisa [emoji38] huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hauwezi kuwa tofauti sana, yaani hata ukijichetua au ukijivika ngozi ya kondoo lazima uhalisia wako utajitokeza tu.

Kuna hiki kitu kinaitwa Dissociative Identity Disorder au Multiple Personality Disorder!

Ukipata muda tafuta maana ya hiyo mimi hapa nikielezea naweza nisieleweke vizuri!
 
Nilishawahi kuangalia movie inayohusiana na hilo tatizo nikalifuatilia kidogo sio sana. Kwanza umeshasema disorder kwa maana hiyo huyo mtu tayari ni 'mgonjwa' si mtu wa kawaida, halafu mtu mwenye multiple personality haamui yeye mwenyewe kuswitch bali inatokea tu automatically au anapokuwa exposed kwenye situations fulani fulani.
Bado mtazamo wangu ni uleule kuwa maandishi yetu tunayoandika hapa yanasema kitu kuhusu sisi. Nimesema kule juu kuwa mtu anaweza kuwa anabehave tofauti huko nje kwa sababu tu fulani mfano anaweza kuwa anaheshimika, ana familia, ni kiongozi n.k hivyo hawezi kufanya mambo ya ovyo lakini uhalisia wake tunauona huku gizani.
 
Nilishawahi kuangalia movie inayohusiana na hilo tatizo nikalifuatilia kidogo sio sana. Kwanza umeshasema disorder kwa maana hiyo huyo mtu tayari ni 'mgonjwa' si mtu wa kawaida, halafu mtu mwenye multiple personality haamui yeye mwenyewe kuswitch bali inatokea tu automatically au anapokuwa exposed kwenye situations fulani fulani.
Bado mtazamo wangu ni uleule kuwa maandishi yetu tunayoandika hapa yanasema kitu kuhusu sisi. Nimesema kule juu kuwa mtu anaweza kuwa anabehave tofauti huko nje kwa sababu tu fulani mfano anaweza kuwa anaheshimika, ana familia, ni kiongozi n.k hivyo hawezi kufanya mambo ya ovyo lakini uhalisia wake tunauona huko gizani.
You said it all
 
Back
Top Bottom