Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
kama hajafika ujue hajaingia tangu jana, huyu mwamba hua haachi fursa.
Umenifanya nicheke kam pimbi[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hajafika ujue hajaingia tangu jana, huyu mwamba hua haachi fursa.
ndo vizuri hapo umerefresh ur mind tayari.Umenifanya nicheke kam pimbi[emoji38][emoji38]
right bt hata wanaobisha wanajua mkuu.Mimi ni mmoja wa watu ambao tabia zangu za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia!
Sijui kwanini watu wanabisha hiki kitu lakini kiukweli tupo watu wa aina hii tena wengi tu!
ndo vizuri hapo umerefresh ur mind tayari.
Hauwezi kuwa tofauti sana, yaani hata ukijichetua au ukijivika ngozi ya kondoo lazima uhalisia wako utajitokeza tu.Mimi ni mmoja wa watu ambao tabia zangu za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia!
Sijui kwanini watu wanabisha hiki kitu lakini kiukweli tupo watu wa aina hii tena wengi tu!
nishachukua tayari mkuu.Chukua bia kwa mangi apo nakuja lipia [emoji18]
In real life unafaa kabisa [emoji38] huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!
Isipokuwa Kidukulilo[emoji3]Kabisa mkuu, mi naamini kila mtu humu anachoandika ndio uhalisia wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anayefurahisha genge anaonekana tu, ila huwezi kuniambia humu kila neno linalokutoka ni tusi halafu uniambie nje wewe ni mcha Mungu, haiwezekaniIsipokuwa Kidukulilo[emoji3]
Daah yule jamaa atakua mhaya kama sikoseiIsipokuwa Kidukulilo[emoji3]
nishachukua tayari mkuu.
Hauwezi kuwa tofauti sana, yaani hata ukijichetua au ukijivika ngozi ya kondoo lazima uhalisia wako utajitokeza tu.
Nilishawahi kuangalia movie inayohusiana na hilo tatizo nikalifuatilia kidogo sio sana. Kwanza umeshasema disorder kwa maana hiyo huyo mtu tayari ni 'mgonjwa' si mtu wa kawaida, halafu mtu mwenye multiple personality haamui yeye mwenyewe kuswitch bali inatokea tu automatically au anapokuwa exposed kwenye situations fulani fulani.Kuna hiki kitu kinaitwa Dissociative Identity Disorder au Multiple Personality Disorder!
Ukipata muda tafuta maana ya hiyo mimi hapa nikielezea naweza nisieleweke vizuri!
You said it allNilishawahi kuangalia movie inayohusiana na hilo tatizo nikalifuatilia kidogo sio sana. Kwanza umeshasema disorder kwa maana hiyo huyo mtu tayari ni 'mgonjwa' si mtu wa kawaida, halafu mtu mwenye multiple personality haamui yeye mwenyewe kuswitch bali inatokea tu automatically au anapokuwa exposed kwenye situations fulani fulani.
Bado mtazamo wangu ni uleule kuwa maandishi yetu tunayoandika hapa yanasema kitu kuhusu sisi. Nimesema kule juu kuwa mtu anaweza kuwa anabehave tofauti huko nje kwa sababu tu fulani mfano anaweza kuwa anaheshimika, ana familia, ni kiongozi n.k hivyo hawezi kufanya mambo ya ovyo lakini uhalisia wake tunauona huko gizani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala, nimekusoma tu kupitia maandishi yako
[emoji16][emoji16] ahsanteUna kipaji kikubwa sana cha kumsoma mtu kupitia maandishi yake.
@BAK usiniambie wewe ni CCM nje ya Jf.With exception of BAK he is totally different person outside JF [emoji12][emoji12][emoji12]