BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wasiojulikana kabisa@BAK usiniambie wewe ni CCM nje ya Jf.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni wasiojulikana kabisa
mkuu wengi wetu huku tunafanya comedy ajil yakutafta furaha na wala si tabia halisi, mfano ukimtizama joti au brother k vituko wanavyofanya kwenye maigizo yao unataka kunambia ndo uhalisia wa tabia zao?Bado mtazamo wangu ni uleule kuwa maandishi yetu tunayoandika hapa yanasema kitu kuhusu sisi. Nimesema kule juu kuwa mtu anaweza kuwa anabehave tofauti huko nje kwa sababu tu fulani mfano anaweza kuwa anaheshimika, ana familia, ni kiongozi n.k hivyo hawezi kufanya mambo ya ovyo lakini uhalisia wake tunauona huku gizani.
Yale ni maigizo yanajulikana, achana na mambo ya kupost jokes na vituko vya hapa na pale inajulikana kuwa umeamua kutoa burudani. Lakini linapokuja suala la kuchangia mada serious au mtiririko wa comments zako lazima utakuonyesha wewe ni mtu wa vipi. Unataka kusema unaweza kuwa mwandishi mzuri wa matusi halafu uniambie wewe si mtukanaji?mkuu wengi wetu huku tunafanya comedy ajil yakutafta furaha na wala si tabia halisi, mfano ukimtizama joti au brother k vituko wanavyofanya kwenye maigizo yao unataka kunambia ndo uhalisia wa tabia zao?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
[emoji3][emoji3]yawezekana maana huku jf ni miongoni mwa wakaka wastaarabu kabisa sasa anapodai huko nje ni opposite si ndio anatuchanganya huyu.ni wasiojulikana kabisa
kwa hiyo mkuu we unahisi maigizo yanafanyika kwenye television pekee? maigizo yanaweza fanyika popote na haya maigizo wala hayana athari yoyote katika tabia halisi ya mtu.Yale ni maigizo yanajulikana, achana na mambo ya kupost jokes na vituko vya hapa na pale inajulikana kuwa umeamua kutoa burudani. Lakini linapokuja suala la kuchangia mada serious au mtiririko wa comments zako lazima utakuonyesha wewe ni mtu wa vipi. Unataka kusema unaweza kuwa mwandishi mzuri wa matusi halafu uniambie wewe si mtukanaji?
Nilishawahi kuangalia movie inayohusiana na hilo tatizo nikalifuatilia kidogo sio sana. Kwanza umeshasema disorder kwa maana hiyo huyo mtu tayari ni 'mgonjwa' si mtu wa kawaida, halafu mtu mwenye multiple personality haamui yeye mwenyewe kuswitch bali inatokea tu automatically au anapokuwa exposed kwenye situations fulani fulani.
Bado mtazamo wangu ni uleule kuwa maandishi yetu tunayoandika hapa yanasema kitu kuhusu sisi. Nimesema kule juu kuwa mtu anaweza kuwa anabehave tofauti huko nje kwa sababu tu fulani mfano anaweza kuwa anaheshimika, ana familia, ni kiongozi n.k hivyo hawezi kufanya mambo ya ovyo lakini uhalisia wake tunauona huku gizani.
realIla si unajua kuwa hakuna tabia duniani ambayo ni common kwa binadamu wote? Duniani tuko watu takriban billion 7 je kuna tabia moja ambayo binadamu wote billion 7 tunayo kwa kufanana?
Kuna huu msemo unasema “in every general rule there is an exception”! Haijalishi hiyo exception itakuwa ni kwa asilimia ngapi ila lazima iwepo yaani everything must have its opposite that’s life!
By the way hata mimi huwa natamani ningekuwa nina uwezo wa kuonesha tabia zangu zote halisi humu! Ila kwa vyovyote vile lazima tu nitajikuta nimeswitch personality mahali kwa sababu fulani!
After all hiyo DID au MPD watu wengi huwa wanashindwa kuielewa vizuri nafikiri kuna haja ya kuingia deep zaidi! Ila mwisho wa siku hakuna anayeweza kuamini kitu ambacho hajakiencounter!
Now you are talking, hata mimi sijalazimisha kuwa lazima kila mtu yupo hivyo...na kutokana na kile ulichoandika hapa inaonekana unakubaliana kuwa general rule ni kuwa uhalisia wa mtu unajionesha kupitia kile anachoandika humu.Ila si unajua kuwa hakuna tabia duniani ambayo ni common kwa binadamu wote? Duniani tuko watu takriban billion 7 je kuna tabia moja ambayo binadamu wote billion 7 tunayo kwa kufanana?
Kuna huu msemo unasema “in every general rule there is an exception”! Haijalishi hiyo exception itakuwa ni kwa asilimia ngapi ila lazima iwepo yaani everything must have its opposite that’s life!
By the way hata mimi huwa natamani ningekuwa nina uwezo wa kuonesha tabia zangu zote halisi humu! Ila kwa vyovyote vile lazima tu nitajikuta nimeswitch personality mahali kwa sababu fulani!
After all hiyo DID au MPD watu wengi huwa wanashindwa kuielewa vizuri nafikiri kuna haja ya kuingia deep zaidi! Ila mwisho wa siku hakuna anayeweza kuamini kitu ambacho hajakiencounter!
Rudia tena kusoma nilichoandika maana hujanielewakwa hiyo mkuu we unahisi maigizo yanafanyika kwenye television pekee? maigizo yanaweza fanyika popote na haya maigizo wala hayana athari yoyote katika tabia halisi ya mtu.