Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

mkuu wengi wetu huku tunafanya comedy ajil yakutafta furaha na wala si tabia halisi, mfano ukimtizama joti au brother k vituko wanavyofanya kwenye maigizo yao unataka kunambia ndo uhalisia wa tabia zao?
 
mkuu wengi wetu huku tunafanya comedy ajil yakutafta furaha na wala si tabia halisi, mfano ukimtizama joti au brother k vituko wanavyofanya kwenye maigizo yao unataka kunambia ndo uhalisia wa tabia zao?
Yale ni maigizo yanajulikana, achana na mambo ya kupost jokes na vituko vya hapa na pale inajulikana kuwa umeamua kutoa burudani. Lakini linapokuja suala la kuchangia mada serious au mtiririko wa comments zako lazima utakuonyesha wewe ni mtu wa vipi. Unataka kusema unaweza kuwa mwandishi mzuri wa matusi halafu uniambie wewe si mtukanaji?
 
kwa hiyo mkuu we unahisi maigizo yanafanyika kwenye television pekee? maigizo yanaweza fanyika popote na haya maigizo wala hayana athari yoyote katika tabia halisi ya mtu.
 

Ila si unajua kuwa hakuna tabia duniani ambayo ni common kwa binadamu wote? Duniani tuko watu takriban billion 7 je kuna tabia moja ambayo binadamu wote billion 7 tunayo kwa kufanana?

Kuna huu msemo unasema “in every general rule there is an exception”! Haijalishi hiyo exception itakuwa ni kwa asilimia ngapi ila lazima iwepo yaani everything must have its opposite that’s life!

By the way hata mimi huwa natamani ningekuwa nina uwezo wa kuonesha tabia zangu zote halisi humu! Ila kwa vyovyote vile lazima tu nitajikuta nimeswitch personality mahali kwa sababu fulani!

After all hiyo DID au MPD watu wengi huwa wanashindwa kuielewa vizuri nafikiri kuna haja ya kuingia deep zaidi! Ila mwisho wa siku hakuna anayeweza kuamini kitu ambacho hajakiencounter!
 
real
 
Now you are talking, hata mimi sijalazimisha kuwa lazima kila mtu yupo hivyo...na kutokana na kile ulichoandika hapa inaonekana unakubaliana kuwa general rule ni kuwa uhalisia wa mtu unajionesha kupitia kile anachoandika humu.
Pia nakubaliana na wewe kuwa mtu hawezi kuonyesha tabia zote ila tu anatupatia general picture ye ni mtu wa aina gani hata kama hizo tabia huko nje huzionyeshi pia. Tuachane na hayo mambo ya MPD maana tayari umeshasema ni DISORDER
 
kwa hiyo mkuu we unahisi maigizo yanafanyika kwenye television pekee? maigizo yanaweza fanyika popote na haya maigizo wala hayana athari yoyote katika tabia halisi ya mtu.
Rudia tena kusoma nilichoandika maana hujanielewa
 
Sipendi watu wanaozungumza kupita kiasi mambo yanayoweza kufupishwa.
 
real
 
30% ya post zangu huwa hazinihusu mimi huwa napost matukio yaliyowahi kutokea ya watu wengine. Mimi sio mchakata papuchi kabisa ila nasifika kuwa ni malaya sana sababu nakuwa na mahusiano ya karibu sana na waschana. But huwa nina mwanamke mmoja kwa wakati mmoja. Tukiachana nabeba mwingine. Pia nina aibu sana kutongoza mwanamke nisiyemjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…