Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Mimi ni jitu pole,linyenyekevu muda wote kichwa chini nisigongane macho na mtu
 
mkuu sikatai maana nawajua watu wapole ukiwazingua wanashow qali hatari.
Kuna mtu nilimfumuaga migumi ya mgongo akaniponyoka akakimbia nilikuwa sijastukia mapema kama ameniponyoka yule aliyekuwa anaamulia ndio nikajua ndio yule ninaemfumua nilipostuka nikaacha vurugu
 
Kuna mtu nilimfumuaga migumi ya mgongo akaniponyoka akakimbia nilikuwa sijastukia mapema kama ameniponyoka yule aliyekuwa anaamulia ndio nikajua ndio yule ninaemfumua nilipostuka nikaacha vurugu
watu wapole ukiwavuruga wanamtiti wa hatari, wanapiga mpaka unaeza omba po
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…