Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]awe amekukandia sasa
 
Hebu andika bwana hiyo essay nijisikie kidogo, inaweza kuwa na masahihisho pia [emoji16][emoji16]
Tabia nazoziona si ambazo huwa unazionesha sana ila mimi huwa naziona kwa kutumia jicho la tatu..
1:Mtu makini,mchangamfu unayependa masikhara pia.
2:loyal
3😛amoja na uchangamfu wako ila kwako si kila mtu anaweza akawa rafiki.
4.Unaamini sana mungu na unafuata taratibu zote za dini yako kadri uwezavyo(hii ndio sifa ninayoipenda zaidi kuhusu wewe.
Mengine siku nyingine....
 
bayern kwa sasa kitaa wanaitwa wanyonya damu, huyo lion anabahati mbaya sana kukutana na haya mabwana, kama unabeti huyu anakula 4+
 
Good Kijana. Unaweza kugeuza maneno hayo kuwa first step stone; "Baharia aya ya kwanza chapter 8"

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wow[emoji2956][emoji2956] haujui tu vile nimeona raha, hujazisema tabia mbaya ambazo unaziona ila hama ulivyosema, siku nyingine [emoji12]
 
Wow[emoji2956][emoji2956] haujui tu vile nimeona raha, hujazisema tabia mbaya ambazo unaziona ila hama ulivyosema, siku nyingine [emoji12]
Sifa no 3 inaweza ikachukua pande zote Mbili mbaya na nzuri....

To get a long with everyone sometimes ni vizuri pia inaweza kuwa viceversa....
 
Mimi mtaani Ni mtu mpole Sana watu wanipenda na kuniheshimu na watu huniona Niko smart, Ni humu tu JF ndo hutukanwa na watu hawanielewi.
mkuu nawe kuna mda unawavaaga, kuna battle1 niliwahi kukushuhudia humu ndani hadi nikadata.
 
I assure you I'd never lower my standards.

I know my worth as a woman and I have a wedding band and I dress decently.
I adore all of that!
I assure you I'd never lower my standards.

I know my worth as a woman and I have a wedding band and I dress decently.
I do adore all of that...But its so intimidating that most married women act so promiscous these days! You are one of the luckiest women out there.
 
Vijana wana slack sana sikuhizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…