Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Good.

Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.

I don't know why I have issues with younger men.

Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.[emoji37][emoji37][emoji37]
Geeez!!!!
 
Hilo nakataa, tena wanaojitutumua wengi ni maskini wenzangu tu! Unajua kuna ile kuwapa watu kitu ambacho wanataka, watu wengi ni mashabiki wa maisha mazuri n.k.

Hii inafanya watu wengi ku fake life online...ila ikija kwa real life mambo kwa offline yanaweza kuwa so different ohh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mwana anakwambia siwezi kuwa maskini kote kote bana...Yani offline niwe maskini na online pia niwe sina jambo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lmfao
 
Hahaaa hyo battle gani, Ila humu JF Kuna watu wanaanza, kutukana, kukuzalilisha utu wako humu kisa hawakubaliani na nilichoandika so siwezi kuwaacha tu hivi hivi, Mimi Ni mpole Ila mtu kunipanda kichwani au kunizalilisha sipendi kila mtu abaki kwenye lane yake.
Doh Mimi mpole Ila mtu aki cross anga zangu atakoma wallah
kuna kauzi fulani japo sikakumbuki jina mkuu, kweli humu ndani kuna watu hulazimisha kugombana bt dawa yao ni kuwapuuza tu mkuu.
 
Maisha yangu ya huku ni tofauti kabisa na ya huko duniani
 
Maisha yangu ya huku ni tofauti kabisa na ya huko duniani
right bt huku ndani kuna watu wanadefence akati ukweli wanaujua kua baadhi ya mambo wanayofanya huku hawawezi fanya katika maisha ya kawaida.
 
right bt huku ndani kuna watu wanadefence akati ukweli wanaujua kua baadhi ya mambo wanayofanya huku hawawezi fanya katika maisha ya kawaida.
Wengi wanayofanya nyuma ya keyboard tofauti kabsa kwanza fake ids zinawabeba sana
 
kuna kauzi fulani japo sikakumbuki jina mkuu, kweli humu ndani kuna watu hulazimisha kugombana bt dawa yao ni kuwapuuza tu mkuu.
Vipo vya kupuuza na sio mtu anaandika uzushi au kukuita Malaya wallah nitamchamba mpaka achambike
 
Back
Top Bottom