Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Basi mama isiwe kesi 😆😆😆Pasua uone unavyoachwa leo hii hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mama isiwe kesi 😆😆😆Pasua uone unavyoachwa leo hii hii
Amini neno langu mimi ...naufahamu uchawi najua kuroga lakini sifanyi hiyo biasharalakini huku ndani wanakuchukulia mlozi mkuu, sasa sijui unaneno gani kwa wananzengo.
Hahaaa daah!!!!Mi tabia yangu haina tofauti na ya kimtandao,
Napenda sana papuchi in real life na kuchakata ndio starehe yangu.
Full stop
Geeez!!!!Good.
Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.
I don't know why I have issues with younger men.
Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.[emoji37][emoji37][emoji37]
LmfaoHilo nakataa, tena wanaojitutumua wengi ni maskini wenzangu tu! Unajua kuna ile kuwapa watu kitu ambacho wanataka, watu wengi ni mashabiki wa maisha mazuri n.k.
Hii inafanya watu wengi ku fake life online...ila ikija kwa real life mambo kwa offline yanaweza kuwa so different ohh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mwana anakwambia siwezi kuwa maskini kote kote bana...Yani offline niwe maskini na online pia niwe sina jambo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mungu azidi kukuongoza mkuu.Amini neno langu mimi ...naufahamu uchawi najua kuroga lakini sifanyi hiyo biashara
Mimi siku nzima narudi jioni na nikikutana salamu basi na bado watu wanataka uzoeane nao kindezi ndio wakuone mzuri, in short maisha ya kufuraisha waja siweziSalimia watu, sasa we unakaa kimya hizo sindio dharau zenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtata huyoIla una ki element cha dharau kwa mbali [emoji2][emoji2][emoji2]
mtata balaa ila hajijui 🤣🤣🤣Mtata huyo
kuna kauzi fulani japo sikakumbuki jina mkuu, kweli humu ndani kuna watu hulazimisha kugombana bt dawa yao ni kuwapuuza tu mkuu.Hahaaa hyo battle gani, Ila humu JF Kuna watu wanaanza, kutukana, kukuzalilisha utu wako humu kisa hawakubaliani na nilichoandika so siwezi kuwaacha tu hivi hivi, Mimi Ni mpole Ila mtu kunipanda kichwani au kunizalilisha sipendi kila mtu abaki kwenye lane yake.
Doh Mimi mpole Ila mtu aki cross anga zangu atakoma wallah
right bt huku ndani kuna watu wanadefence akati ukweli wanaujua kua baadhi ya mambo wanayofanya huku hawawezi fanya katika maisha ya kawaida.Maisha yangu ya huku ni tofauti kabisa na ya huko duniani
Wengi wanayofanya nyuma ya keyboard tofauti kabsa kwanza fake ids zinawabeba sanaright bt huku ndani kuna watu wanadefence akati ukweli wanaujua kua baadhi ya mambo wanayofanya huku hawawezi fanya katika maisha ya kawaida.
Mi tabia yangu haina tofauti na ya kimtandao,
Napenda sana papuchi in real life na kuchakata ndio starehe yangu.
Full stop
Vipo vya kupuuza na sio mtu anaandika uzushi au kukuita Malaya wallah nitamchamba mpaka achambikekuna kauzi fulani japo sikakumbuki jina mkuu, kweli humu ndani kuna watu hulazimisha kugombana bt dawa yao ni kuwapuuza tu mkuu.
right, hapa wengi wanadefence kuwaaminisha watu ujinga.Wengi wanayofanya nyuma ya keyboard tofauti kabsa kwanza fake ids zinawabeba sana
Inshallah ...barikiwa zaidimungu azidi kukuongoza mkuu.
mi nikima mv analeta madharau namp4a block mara1Vipo vya kupuuza na sio mtu anaandika uzushi au kukuita Malaya wallah nitamchamba mpaka achambike
nawe pia mkuu.Inshallah ...barikiwa zaidi