Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Wajuzi wa mambo naomba uzoefu.

Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania.

Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu.

Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua?

kwetu?
 
Hawa walipaswa wachaguliwe na wananchi. Au iwe kazi ya kuomba na kufanyiwa usahili.
 
Back
Top Bottom