The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Sep 29, 2022 #1 Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? Your browser is not able to display this video. kwetu?
Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? Your browser is not able to display this video. kwetu?
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Sep 29, 2022 #2 Katiba tupendekeza hakuna nafasi ya wakuu wa wilaya,mkoa maana hawana kazi za kufanya
Phobia JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,156 Reaction score 1,819 Sep 29, 2022 #3 Nyerere alaumiwe
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Sep 29, 2022 #5 Hao wapo kimkakati kuhakikisha chama kinatawala hadi 7030
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Sep 30, 2022 Thread starter #6 Hawa walipaswa wachaguliwe na wananchi. Au iwe kazi ya kuomba na kufanyiwa usahili.
Nzie ya Mana JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,515 Reaction score 1,730 Sep 30, 2022 #7 Mwanakwetuuu said: Katiba tupendekeza hakuna nafasi ya wakuu wa wilaya,mkoa maana hawana kazi za kufanya Click to expand... Ni maccm tu hawana kazi yyt na hamna nchi ya kipuuzi hivyo duniani.
Mwanakwetuuu said: Katiba tupendekeza hakuna nafasi ya wakuu wa wilaya,mkoa maana hawana kazi za kufanya Click to expand... Ni maccm tu hawana kazi yyt na hamna nchi ya kipuuzi hivyo duniani.