MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
- Sheria kandamizi ziko vile vile
- Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida
- Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote
- Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa
- Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k
- Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende
- Migawanyiko ya kidini, utanganyika n uzanzibar unakua kwa kasi
- Anakanyaga katiba kila wakati kufurahisha nafsi yake:
- Teuzi za RC na DC wenye miaka zaidi ya 60
- Baraza la mawaziri lililokaa wapigaji na wahuni wanaolindwa.
Anafanya Nini?
Note: Ukiona ndani ya baraza la Samia, unaona Kuna yoyote anaweza kusaidia nchi hii mbele Kama Kiongozi mkuu???
Maumivu TANI 900 huko mbele