Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Naendelea vyema still na p.o.p kutembea mwenyewe bila Clutches naogopa..Mkuu unaendeleaje na hali?
Imekua muda Sasa naogopa kuanza kutembea hii mentality still ipo kichwani japo Sina Maumivu sijui nifanyeje kuondoa hiyo Hali
Hopefully soon ntaanza kutembea Tena Kama zamani