Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

Naendelea vyema still na p.o.p kutembea mwenyewe bila Clutches naogopa..
Imekua muda Sasa naogopa kuanza kutembea hii mentality still ipo kichwani japo Sina Maumivu sijui nifanyeje kuondoa hiyo Hali
Hopefully soon ntaanza kutembea Tena Kama zamani
Nafurahi kusikia hivyo budda ,Ila usijali kuhusu hiyo mentality iache iendelee kuwepo utafika wakati itaondoka yenyewe usifosi kuipinga mentality najua unaelewa mambo ya psychology yalivyo isije kuleta mushkheri tena .
Allah aendelee kukufanyia wepesi ,Insh'Allah soon utarejea katika hali yako ya zamani .
 
Asante Sanaa kaka kwa Dua njema kwangu tupo pamoja 🙏🙏
 
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo.

Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
Kidogo ukoma dawa zake ni kama za maisha yote
 
Ila sasa ni nje ya mada hii maana mengi ni magonjwa yasiyobukizwa
 
Back
Top Bottom