Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Nyimbo laini na nyororo kama ile ya Taylor swift akiwashirikisha msondo ngoma.Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
nimecheka kama mwehuChitaki kuchikiliza
he wasnt a man enoughHivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
Aslay - KoloHivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
ukiachwa kwa muktadha upi?Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
[emoji23][emoji23][emoji23]best naso narudi kijijini