Ok mkuu nina imani wahitaji wamelisoma tangazo lako. Ila umeshalilipia tangazo lako, au umetumia mseleleko tu wa ganda la ndizi πππKama ni BAGAMOYO ni chaguo sahihi kwenu,basi msisite kufika katika kampuni yetu ya PMG and ASSOCIATE Co.ltd kupata fursa ya viwanja vilivyopimwa na kupangwa kwa matumizi mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0674376678
Shukran sana kwa mchango wako mkuu. Wajanja tumeokoteza faida fulan katika comment yako.1. Bagamoyo - kuanzia mapinga mpaka Kiromo, hapa kiromo ndio kuna special economic zone, na bandari- kwa sasa usivuke round about, labda kwa uwekezaji wa baadaye, bagamoyo mjini waachieni wazawa
2. Kibaha
Kibaha sasa hivi ni almost kama Dar tu na Chanika pia ni Dar ile sio Pwani, hivyo niliona kama kuzilinganisha na Bagamoyo na Mkuranga kusingeleta uwiano kidogo, kwahiyo inatakiwa tulinganishe Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe na MkurangaInamaana wewe Kibaha imekukalia kushoto mkuu, au unamaanisha huko kuna hadhi kubwa hivyo sikutakiwa kupataja katika list hii?
Anyway tuseme una hela unahitaji kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi na familia yako, halafu baada ya kuhangaika kutafuta viwanja unakutana na dalali ana kwambia kuna viwanja vinapatikana Bagamoyo, Vikindu, Kibaha na Chanika. Bei ni moja na ukubwa 40Γ40.Tunajadilije hoja ya kufikirika ambayo kiuhalisia haitakuja kutokea kuwepo?
Hata nikijitamanisha kuchagua ni nini kitaninufaisha na uchaguzi wangu huo?
Soma tena hapo chiniHicho Kiwanja anakupa nani-bure zama hizi? 'ncheke mie, amka unaota 'blaza' π
Changa Pesa yako nunua na jenga pale Roho yako itapopachagua.
Kusikiliza ya walimwengu hakuna ambapo hapatakosolewa.
Sijui naeleweka?
Anyway tuseme una hela unahitaji kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi na familia yako, halafu baada ya kuhangaika kutafuta viwanja unakutana na dalali ana kwambia kuna viwanja vinapatikana Bagamoyo, Vikindu, Kibaha na Chanika. Bei ni moja na ukubwa 40Γ40.
Wewe utapendelea kwenda kununua na kujenga wapi kati ya hayo maeneo tajwa?
Soma tena hapo chini
Kwanini nipewe kiwanja cha bure mimi mwanaume rijali?
Anyway tuseme una hela unahitaji kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi na familia yako, halafu baada ya kuhangaika kutafuta viwanja unakutana na dalali ana kwambia kuna viwanja vinapatikana Bagamoyo, Vikindu, Kibaha na Chanika. Bei ni moja na ukubwa 40Γ40.
Wewe utapendelea kwenda kununua na kujenga wapi kati ya hayo maeneo tajwa?
Hapo umenyoosha vizuri.Anyway tuseme una hela unahitaji kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi na familia yako, halafu baada ya kuhangaika kutafuta viwanja unakutana na dalali ana kwambia kuna viwanja vinapatikana Bagamoyo, Vikindu, Kibaha na Chanika. Bei ni moja na ukubwa 40Γ40.
Wewe utapendelea kwenda kununua na kujenga wapi kati ya hayo maeneo tajwa?
Good, hapa nimekuelewa vizuri my brother. Lakini cha kushangaza bado kuna watu wanazikubali Bagamoyo na kuachana na Kibaha au Chanika ya Dar, vilevile kuna watu wanaikubali Vikindu kuliko hayo maeneo mengine.Kibaha sasa hivi ni almost kama Dar tu na Chanika pia ni Dar ile sio Pwani, hivyo niliona kama kuzilinganisha na Bagamoyo na Mkuranga kusingeleta uwiano kidogo, kwahiyo inatakiwa tulinganishe Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe na Mkuranga
Mzee vipi wewe?Soma tena hapo chini
Kuna watu wanadai Chanika usafiri mpaka uwe mtu wa kuamka mapema yani kuanzia saa 11 hadi saa 1 ya asubuhi. Ukifika kituoni kinyume na hapo basi utarajie kuchelewa zaidi ndani ya basi kwa sababu ya foleni.Chani babu kuko njema ktk nyanja zote miundo mbinu huduma za kijamii kama usafili hospital mahakama vituo vya police NK nk
KaskaziniHome wapi mkuu, Tanga?
Je waweza fafanua zaidi, sababu ni nini hasa?Vikindu na Chanika kunawafaa wale waliouza nyumba zao Manzese na kukimbilia kujenga huko.
Imepita bila kupingwa, hizo ardhi zilizojaa wazaramo na wamaakonde sio πππKama ni swala la kura, basi Kibaha ingekuwa imeshapita kitambo. Maana ndio inaongoza kwa kuchaguliwa ikifuatiwa na Bagamoyo ππ
Unagongwa na vigagula wewe, Tabata maeneo yake mengi tu yamepimwa. Tuna nyumba ipo kwenye mipango miji from 1980s. Hio Tabata unayosemea squatter ni ile ya nyuma ya Mawenzi kunaitwa Upogoroni kushuka hadi mwananchi pamoja na maeneo yanyopakana na bonde la mchicha.Kwani wasiokuwa Waswahili wanakaa wapi?
Humu JF Kila mtu mambo safi!
Sinza yote ni full squatter, Magomeni, Temeke Buguruni, Tabata yote haijapimwa..
Niambieni nyie mnakaa wapi kusikokuwa na uswahilli, hakuna misikiti, watoto hawalii!
Au mnajenga humu humu mitandaoni?
Shenzy typ!
Hio ni Trend tu ila kukaa 90kms from City centre ni Ujinga wa aina yake.Sababu kuu yako ni Morogoro road tu basi?
Mbona inasemekana siku hizi Bagamoyo road ndo habari ya mjini π