6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #201
Ok mkuu nina imani wahitaji wamelisoma tangazo lako. Ila umeshalilipia tangazo lako, au umetumia mseleleko tu wa ganda la ndizi 😂😂😂Kama ni BAGAMOYO ni chaguo sahihi kwenu,basi msisite kufika katika kampuni yetu ya PMG and ASSOCIATE Co.ltd kupata fursa ya viwanja vilivyopimwa na kupangwa kwa matumizi mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0674376678