Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
DuhNinakuita shemu kwa sababu sina mbavu za kukumiliki.
Wadada wote nisiowaweza kuwamiliki ninawaita mashemeji ili kuweka uwiano mzuri shem
Karbu sana mkuu.Asante.. nakuja haraka sana pacha wangu
Sawa shem karibuDuh
I didn't expect hii jibu
Nimecheka π€£π€£π€£π
AnatarajiaMkuu,unategemea kupewa urithi?
Kwanini?CHANIKA is the best
Hapana tafadhali sana. Mwisho Chalinze
Shem karibu Kibaha-Boko Mnemela!π
Sikatai lakini kwa Chanika hizo ni bei za heka siyo bei za viwanja vya kibiashara.Me kuna wadau wako huko kiwanja mpak 20mil vipo mpka 100mil hii ni barabarani
Bei ya kiwanja inategemea. Kiwanja chenyewe kiko katika mazingira gani.
Labda mleta mada kapewa kaambiwa achague kiwanja kimoja kati ya hizo sehemuHakuna anaetoa kiwanja bure Chanika
Unapita Stendi?π³Mzee kumbe upo Mnemela, huwa ninakuja sana huko kuchimba mihogo π
Wengi walisema hivyo ila kadiri muda unaenda unagundua upo wrong place na unapakimbia kwa gharama yoyote.Maisha popote kokote unaweza ukaishi tu ni wewe tu umejipangaje
Ova
Unapita Stendi?π³
Au ni wewe nilikukuta kwenye daladala la Mnemela unaperuzi JF. Nilicheka sana!
Nina eneo pale Barabara ya Zahanati ya Boko Mnemela, Kitongoji cha Mpiji Station.Hahaha hata sijui maana JF mimi huwa napitia tu pasipo kujali nipo wapi...
Yes, unapita stendi, kule mbele huwa nasogea kwa ngondi au bodaboda...
Nina eneo pale Barabara ya Zahanati ya Boko Mnemela, Kitongoji cha Mpiji Station.