Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Bagamoyo kwa waganga unaenda kutafuta nn chief?Kwahiyo mkuu unaona Kibaha haikupaswa kulinganishwa na hayo maeneo mengi, inamaana hata Bagamoyo hauikubali mkuu?
Kaa kibaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bagamoyo kwa waganga unaenda kutafuta nn chief?Kwahiyo mkuu unaona Kibaha haikupaswa kulinganishwa na hayo maeneo mengi, inamaana hata Bagamoyo hauikubali mkuu?
Me kuna wadau wako huko kiwanja mpak 20mil vipo mpka 100mil hii ni barabaraniKwa sehemu iliyochangamka kama Chanika na ilivyokuwa maarufu mpaka leo kuwa na kiwanja cha 1.7 mill huko ni sawa na kutoa bure.
Tungetegemea huko viwanja visipungue 8mill hadi tunavyoongea hapa
Nenda Chanika mkuu imekuwa sana na mahitaji sio tatizoNiaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Watu wa kaskaziniAs for me,Kibaha is the best!
Kwanza ndiko ulipo mlango wa kuingia kwenye mji wa kibiashara so fursa nyingi za kimaendeleo zinaelekezwa huko,mgeni gani anaingia Dar bila kuigusa Morogoro road?
Well done mkuuKama mimi binafsi huwa napenda kulinganisha maeneo husika na kuona fursa zilizopo ili kuchagua sehemu sahihi ya kuishi.
Ni muhimu pia kuzingatia mambo kama miundombinu, huduma za umma, elimu, na fursa
Hata hivyo, naweza kukusaidia kwa kukupa taarifa kuhusu maeneo hayo ili uweze kufanya uamuzi wako mwenyewe.
1. Vikindu: Vikindu ni sehemu iliyoko katika Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, Tanzania. Inapatikana umbali wa takribani kilomita 45 kutoka Dar es Salaam. Maeneo ya karibu na pwani yanaweza kuwa na vivutio vya kipekee, lakini umbali kutoka Dar es Salaam unaweza kuwa changamoto ikiwa unahitaji kufanya shughuli nyingi jijini.
2. Kibaha: Kibaha ni mji ambao ni makao makuu ya Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, Tanzania. Ni eneo linalokaribia Dar es Salaam, umbali wa takribani kilomita 35, na inaunganishwa vizuri na barabara kuu na njia ya reli. Kuishi Kibaha kunaweza kukuruhusu kufurahia urahisi wa kufika Dar es Salaam na huduma zake, wakati ukijivunia mazingira ya mji mdogo na utulivu.
3. Chanika: Chanika ni eneo lililopo katika Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Ni sehemu ya mijini zaidi ikilinganishwa na maeneo mengine uliyotaja. Kuishi Chanika kunaweza kukupa faida ya kuwa karibu na vituo vya biashara, huduma za umma, na miundombinu ya jiji. Hata hivyo, unaweza kukabiliwa na msongamano wa trafiki na kelele za mji mkubwa.
4. Bagamoyo: Bagamoyo ni mji wa kihistoria ulioko katika Mkoa wa Pwani, takribani kilomita 75 kaskazini mwa Dar es Salaam, Tanzania. Mji huu una historia ndefu ya biashara na utamaduni na inaonekana kama sehemu ya urithi wa dunia na UNESCO.
Kuchagua kujenga na kuishi Bagamoyo kunaweza kuwa chaguo nzuri kwa sababu ya mambo yafuatayo:
Utamaduni na Historia, Mandhari ya Pwani,
Amani na Utulivu, Karibu na Dar es Salaam
Ok brother acha ushauri wako niufanyie kazi.Chanika ni Bora kuanzia Buyuni Taliani Nyeburu Nguvu kazi hadi maeneo ya Kwa ngwale ardhi yake ni tambarare inapitika mda wote hakuna miinuko mikali au mabonde
Unaweza kupata eneo kubwa la kujenga kwa gharama nafuu
Kwa Sasa hakuna sana uswahili maana wahamiaji ni wengi sana
Ni rahisi kufika mjini hasa asubuhi kuanzia 11 hadi 1 nje ya hapo utakutana na foleni ya tazara itakuchelewesha
Bagamoyo ninakohamia rasmi soon..Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Mbona watu wanadai sehemu kubwa ya Kibaha kwa sasa imejengeka, uswahili umepungua maana wale waswahili wenyewe original wengi wameshakufa, na wengine wameuza maeneo yao au viwanja vyao na kuwaachia wageni mji.Hakuna afadhali hata sehemu moja...
Wanaotaja Kibaha wanaitazama Maili moja tu labda, lakini Kibaha ni kubwa na ndani ndani kuna mambo ya kiduanzi na ushirikina kama ilivyo Bagamoyo na Vikindu, na palipo na ushirikina sahau maendeleo...
Kwani hata maeneo mengine si unaweza kukitia sokoni tena kwa bei kubwa zaidi ya Chanika au kwako wewe unaona Chanika kunauzika zaidi ya maeneo mengine?Ni bora pale chanika,baada ya wiki mbili nitakua nishakitia sokoni nirudi kupanga mjini😎
Watu wa kusini wanapita Morogoro road?As for me,Kibaha is the best!
Kwanza ndiko ulipo mlango wa kuingia kwenye mji wa kibiashara so fursa nyingi za kimaendeleo zinaelekezwa huko,mgeni gani anaingia Dar bila kuigusa Morogoro road?
BagamoyoNiaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Ok boss, naona Kibaha inazidi kuibuka kidedea katika mjadala wetu, sio kama Chanika na Vikindu yake.Nitachagua kibaha sababu ni mji unakua kuna nafasi naweza kufanya maendeleo mengine kama kufuga ni rahisi kupata masoko upande wa kibamba na chalinze maana kibaha ipo hapo kati.
Vikindu nafasi ipo ila ukuaji wake sio kama kibaha, chanika mmh huko pashakua uswazi na bagamoyo bado hapajaendelea kivilee.
We kaka una akili sana nyingi Wacha niku followKama mimi binafsi huwa napenda kulinganisha maeneo husika na kuona fursa zilizopo ili kuchagua sehemu sahihi ya kuishi.