Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Sawa mkuu. Huko nilipata cha 20 x20 cha kalazia mbavuPanapo majaliwa, siku nikisogea maeneo hayo maana huwa nakuja kuvuna mihogo na kutazama shamba time to time...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu. Huko nilipata cha 20 x20 cha kalazia mbavuPanapo majaliwa, siku nikisogea maeneo hayo maana huwa nakuja kuvuna mihogo na kutazama shamba time to time...
Asante ndugu kwa ufafanuzi huuKata ya Maili Moja ipo Halmashauri ya Mji Kibaha na eneo kubwa limepimwa kwa ajili ya viwanda na miradi mikubwa ya serikali.
Hata kama kuna viwanja siyo affordable sana.
Uwekezaji kwenye ardhi ni mbinu, na ili uwekezaji huo uwe na faida unatakiwa upate faida ndani ya miaka isiyozidi mitano (5).
Sasa je, kwa vyovote iwavyo, mtu akinunua ardhi Kibaha sasa hivi baada ya miaka mitano hapati faida?
Faida ya kumiliki eneo Kibaha ni kubwa kuliko hasara.
Sasa hivi tunaingia town kupitia bagamoyo roadAs for me,Kibaha is the best!
Kwanza ndiko ulipo mlango wa kuingia kwenye mji wa kibiashara so fursa nyingi za kimaendeleo zinaelekezwa huko,mgeni gani anaingia Dar bila kuigusa Morogoro road?
Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
😂😂😂😂2021 nilinunua kiwanja Tshs laki 8.
Sasa hivi viwanja vinauzwa laki 6.
Halafu vinapimwa kwa futi.
Niliuza baada ya kuona nyumba za uswazi zinashamiri kunizunguka. Na msikiti ukajengwa jirani na kwangu.
Kama ni Mswahili, ni kweli pamekucha ila kwa mtu mpenda ustaarabu; hapana, hapamfai!
No mie napenda upande huu mkuuSababu kuu yako ni Morogoro road tu basi?
Mbona inasemekana siku hizi Bagamoyo road ndo habari ya mjini 😀
Huko pwani acha wakae wenyewe 😅Sababu kuu yako ni Morogoro road tu basi?
Mbona inasemekana siku hizi Bagamoyo road ndo habari ya mjini 😀
Vya bure sio vizuri/salama 😅 Ila Kibaha ni pazuri zaidiNiaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Kwann mkuu🤣Nilikuwa na kiwanja Chanika nikapauza, sitaki hata kupasikia
Ha ha ha nami nilielewa Mkuu tuko pamoja. Miaka kadhaa ijayo Kibaha itakuwa sehemu ya Dar😅Najua mkuu, ila niliandika hivyo kwa maana yangu. Naona Kibaha inaongoza ikifuatiwa na Bagamoyo.