Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Hao hawana elimu ya lishe, inashauriwa si nzuri kula chakula kizito usiku coz chote kinaenda kumeng'enywa into fatts and oil na Carbohydrate(wanga) kidogo sana.
 
Hao hawana elimu ya lishe, inashauriwa si nzuri kula chakula kizito usiku coz chote kinaenda kumeng'enywa into fatts and oil na Carbohydrate(wanga) kidogo sana.
Sasa fikiria na hao jamaa ni graduates wa Udom, ndio maana yule bi chau wa humu huwa anauliza, hivi mmeenda shule kusomea ujinga ?
 
Wanawake hawapendi kile chakula kinachowalazimisha wafinyange vidole full stop, wanataka vile wanavyoweza kula kwa spoon bhaaas🤣🤣🙌
Nakaa paleee
 
Sasa fikiria na hao jamaa ni graduates wa Udom, ndio maana yule bi chau wa humu huwa anauliza, hivi mmeenda shule kusomea ujinga ?
Wengi wanaenda shule kufaulu ili vyeti visomeke na marks nzuri wapate ajira, ila kuhusu wao kuwa well upstairs hawajari.
 
Mniongeze chai ya maziwa nile na chapati. Ugali na hayo majani tupa kule. Sili kuku ya michuzi labda ingekua kavu.
 
Lishe ina mchango mkubwa hata kwenye maswala ya uzazi usichoshe mwili upe vitu unataka ugali mkubwa hnakuchosha tu usiku
 
Hapo chapati zitoke. Huo ugali na kuku hapo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Yani hata kama nakula makapi dona hapana. Sembe tamuuu
 
Chapati haifai, ugali mweupe haufai, kama kuku ni haya ya kukuzwa kimaabara napo hamna kitu. Kitu pekee kiko safi ni mboga ya majani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…