Nalinda status, mara zotee mahusiano yangu Ni ya Siri Sana,rafiki yangu mmoja tu ndo ananijua in &out,watu wengine wote wanaonifahamu ukiwauliza kuhusu Mimi hunikosi tatu Bora🤗🤗🤗🤗🤗🤗Una ogopa nini?
😂😂 inapendezaNalinda status, mara zotee mahusiano yangu Ni ya Siri Sana,rafiki yangu mmoja tu ndo ananijua in &out,watu wengine wote wanaonifahamu ukiwauliza kuhusu Mimi hunikosi tatu Bora🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Ndo maana sijakuwa na mahusiano mengi mengi
Sijawahi fanya mapenziLabda na mnyama ila sio binadamu
Toka zakoSijawahi fanya mapenzi
Natoka,,Toka zako
Nilikuwa sijui bwana🤣Ulikuwa ujui
Wale wa serious relationship kwenye coaster dungu wanajaa. Ila ile chovyachovya tunakodi Yutong hata 2 na zaidi za Kimbinyikomin -me njoo utuambie hapa Ambivert88 njoo hapa
mzabzab Mzee wa kupambania shibela Kalpana Kelsea Hannah To yeye EEX
Trust me bro, mimi sio mtu wa kuruka rukaUsitufanye sie watoto
Dipreshen usimuamini huyo mpishi anapenda kuongeza chumviAaah kumbe mpare!! Basi tena 🤣🤣🤣
Hadi wewe huniamini?Huu ni uongooooooo!
Binti gani huyo mbona simjuiNasubiri binti awe active
Ningeshangaaa useme bajajiWale wa serious relationship kwenye coaster dungu wanajaa. Ila ile chovyachovya tunakodi Yutong hata 2 na zaidi za Kimbinyiko
Una jitetea sanaTrust me bro, mimi sio mtu wa kuruka ruka
Leo sijaongeza chumvi et 😂Dipreshen usimuamini huyo mpishi anapenda kuongeza chumvi
Mm pia simjuiBinti gani huyo mbona simjui
Ndio nimekujuzaNilikuwa sijui bwana🤣
ChapppNatoka,,
Basi kuanzia sasa najitoa muhanga tu, ntakuwa nachapa kavu kavu na mkokoteni naachana nao, sasa rasmi nataka nijaze lori.Waoga ndio wana pataga
Basi kuanzia sasa najitoa muhanga tu, ntakuwa nachapa kavu kavu na mkokoteni naachana nao, sasa rasmi nataka nijaze lori.