Hapana Mkuu, nimekuwa nikisoma tu humu Vijana wakiongeleaKwahy babu una ijua popo kanyea mbingu ππ
Una bisha ulikuwepooooo wewe ulikuwepo πUNGO
Sorry πSi wengine matukio tuliyopigwa tukisema tuyaweke JF tutajaza server π
Siku nikilewa nitaweka zote kwa pamoja hivihivi siwezi kukumbuka maumivu Yale πSeries
SGRUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe π
πππ washai kukufinyia kwa ndani ili utoe pesa ya kodi?Hapana Mkuu, nimekuwa nikisoma tu humu Vijana wakiongelea
Mimi na Uzee huu, binti akinipa hiyo style si atafanya nife kwa kisukari cha utamu π
Umeuvaa utu mpya leo
Af unajikaushaSiku nikilewa nitaweka zote kwa pamoja hivihivi siwezi kukumbuka maumivu Yale π
ππ ipo full
We nawe unahuruma sana πSorry π
Hahaha..........hiyo bado, nahisi kisukari kitapanda wakati huo ππππ washai kukufinyia kwa ndani ili utoe pesa ya kodi?
ππ kuna mwanakwaya kakupenda ila ana ogopa kukuambia kanitumaJuzi Jumapili hapo nilisali Aict makongoro mwanza, pastor aliposema wenye kumrudia Mungu tupite mbele tuombewe ikabidi nipite, alipomaliza alisema sasa tumekuwa watu wapya.
Wale wanawake siwatambui kwasasa hah
Usiseme watu uliofanya nao mapenzi; sema watu uliozini nao. Uzinzi ni uzinzi tu, usiupake chokaa na kuuita mapenzi. Let us call a spade a spadeUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe π
ππ utafia gestHahaha..........hiyo bado, nahisi kisukari kitapanda wakati huo π
Hawanijuiππ kuna mwanakwaya kakupenda ila ana ogopa kukuambia kanituma
Sawa sawa mama mchungaji sharoom kwa sauti ya mc mbonekeUsiseme watu uliofanya nao mapenzi; sema watu uliozini nao. Uzinzi ni uzinzi tu, usiupake chokaa na kuuita mapenzi. Let us call a spade a spade
"Tubuni, kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia" (Mathayo 3:2)
Ana kujua alikuoneshea kidoleHawanijui
π€£π€£π€£Me nimekuambia Bado hujapigwa matukio vizuriWe nawe unahuruma sana π
Mbona kama mwenzangu ni mzoefu kwenye kububujikwa na mchozi wa jicho la kulia halafu la halitoi chozi wala ππ€£π€£π€£Me nimekuambia Bado hujapigwa matukio vizuri
ππ ana mshinda lucas mwashambwa?Mbona kama mwenzangu ni mzoefu kwenye kububujikwa na mchozi wa jicho la kulia π