Ukiambiwa upewe Billion 2 sasa hivi au upewe elfu 10 ambayo itakuwa inaji-double kila siku, utachagua nini?

Ukiambiwa upewe Billion 2 sasa hivi au upewe elfu 10 ambayo itakuwa inaji-double kila siku, utachagua nini?

10, 20, 40, 80... namna hii
Hiyo ya ku double kila siku, katika miezi michache tu unakuwa na pesa kuliko atoms zote zilizopo kwenye ulimwengu unaojulikana.

Kuna mwamba alimwambia mfalme anataka zawadi ndogo tu.

Kwenye ile set ya chess yenye vi square 64 (kama ya draft) mfalme amuwekee punje moja ya mchele kwenye ki square cha kwanza, punje mbili cha pili, aendelee ku double mpaka ki square cha 64.

Mfalme akaona mbona mchele mdogo tu huo. Akakubali.

Kuja kupiga mahesabu huo mchele umezidi mchele wote wa dunia.

Mfalme akamuua yule jamaa.

Ndiyo hesabu hii sasa.
 
Story za humu Siku hizi bora hata Facebook 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Ukiwakosa hawa utakutana na taarifa za MMU tupu😂😂😂😂
Na ndo zinakua trending
😂😂 teknolojia mkuu sasa ivi Jamii forum inafikika na watu wengi.

Kwaiyo tumekua jamii kweli, watu tofauti tofauti, matabaka mbali mbali , wasomi kwa wasio wasomi, n.k

Ila bado nondo zipo mkuu 😂
 
Story za humu Siku hizi bora hata Facebook 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Ukiwakosa hawa utakutana na taarifa za MMU tupu😂😂😂😂
Na ndo zinakua trending
Hapana,

Hapa kuna hoja nyingi za kifalsafa na kihesabu ambazo wewe ndiye unaweza kuwa hujaziona.

Kuna hoja kubwa ya instant gratification inavyoweza kukukosesha mambo makubwa unayoweza kuyapata kwa delayed reward. Hili ni jambo ambalo Watanzania wengi wanasumbuliwa nalo, ndiyo maana wengi kuweka pesa katika masoko ya hisa au sehemu nyingine ambapo pesa inakua kwa interest ni shida.

Kuna zoezi la hesabu tu kujua sequence and series mambo ya arithmetic progression, geometric progression na realistic limits za peogression hizo ina person's natural lifetime.

Kwa sisi tunaopenda historia, uzi huu unatukumbusha ombi la mtu mmoja aliyemuomba mfalme amuwekee mchele kwenye set ya chess yenye vyumba 64 (kama ya drafti) punje moja chumba cha kwanza, punje ya pili chumba cha pili, punje nne chumba cha tatu, akiendelea ku double mpaka chumba cha 64.

Mfalme hakuelewa hesabu akaona kazi ndogo, kumbe dunia nzima hakuna mchele wa kutosha kuweka hivyo.

Mwishowe jamaa akauawa na mfalme kwa sababu mfalme aliona huyu mtu kamdhalilisha kaonesha mfalme hajui hesabu.

Uzi una mambo mengi makubwa kifalsafa na kimahesabu, lakini kama hujui utaishia kuudharau.
 
Hiyo ya ku double kila siku, katika mwezi mmoja tu unakuwa na pesa kuliko atoms zote zilizopo kwenye ulimwengu unaojulikana.

Kuna mwamba alimwambia mfalme anataka zawadi ndogo tu.

Kwenye ile set ya chess yenye vi square 64 (kama ya draft) mfalme amuwekee punje moja ya mchele kwenye ki square cha kwanza, punje mbili cha pili, aendelee ku double mpaka ki square cha 64.

Mfalme akaona mbona mchele mdogo tu huo. Akakubali.

Kuja kupiga mahesabu huo mchele umezidi mchele wote wa dunia.

Mfalme akamuua yule jamaa.

Ndiyo hesabu hii sasa.
power of compound growth
 
Ikiwa hiyo 10000 ni dollar basi haya ndio mahesabu ya AI

Screenshot_20260501-145509.png
 
Back
Top Bottom