Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Yani unekataa kufanya hesabu uliyopewa, umejitungia yako mwenyewe.Ongezeko la mara mbili maana yake ni asilimia 100. Ni kitu kigumu kutokea. Lakini inafikirisha.
Nimekaa nafanya hesabu ya ongezeko la asilimia moja tu kwa siku. Baada ya siku 30 kuna nyongeza ya asilimia 34. Hii si haba.
Kama mtihani umefeli mkuu.